Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,123
Hii kitu ni habari nyingine kabisa..
Nimeirudia mara 2..
Nadhani ikitoka season ya 3 itabidi niirudie kuanzia mwanzo ili twende pamoja na s3
Kwanini kila mtu aliyefanikiwa kuiangalia hii series ya Breaking Bad huwa anaishia kuiweka katika tatu bora ya series Kali alizowahi kuziangalia?My best series ambazo naziheshimu.
1.Breaking bad
2.Power
3.The Lost
4.Banshee
5.Ozark
6.Money Heist
7.Shameless
8.Orange is the New Black
9.Catch 22
10.Silicon Valley
11.2 and half men
12.Strike back
13.Game of thrones
14.Hanna
15.How to get away with murder
16.Bing Bang theory
nilizoshindwa kumalizia
Gotham
Queen of the south
the last ship
the walking dead
the originals, vampire....
into the badland
agents of shield
arrow, flash,
Ha ha ha!Hata mimi nafikiri hivyo maana mzee Moscow alinyukwa 3 tuu, akanyooka,, Berlin hawez kusalimika pale.
Ila hii kitu ni noma napenda sana wanavyoongea kile kihispaniola
Noma sana mimi niliipakua ndani ya simu ko kila mda narudia kuchek tu hii kitu noma sana,, usimsahau Tokyo ambae dakika 1 mbeleHa ha ha!
Kihispaniola kinanogesha sana Mzee.
Hasa bibie Nairobi akiwa anasimamia jambo bila kusahau na kile kicheko cha bwana Denver.
Duuuuuuh, hii season ya ngapi mkuu ambayo ABRUZZI anafufuka,m mwenyewe sijaelewa elewa!!!
Maana nilishangaa hata kuke kwenye Prison Break,John Abruzzi is alive and wellukiachana risasi alizomiminiwa zileeee!!!!!
Ila nikasema kama ya Lissu tuuuu
Ngoja niendelee nione mkuuI see breaking bad.. inaanza kitoto.. lakini ikifika season 2 utakubali kwamba kwanini inasifika
View attachment 1134469
KWA SASA SINA SERIES NAYOIFUATILIA
NASUBIRI MONEY HEIST SEASON 3
Next month
Hii kitu ni Hatari Sanaa
Pitisha jicho kwa the enermy within
Ni nzuri sana hio nafatiliaKuna kitu inaitwa jett imeanza vizuli sana
Breaking bad umeiona?Aisee najuta sana. Hivi kipindi wenzangu wanaangalia LA CASE DE PAPEP a.k.a MONEY HEIST mimi sijui nilikua wapi? Hii kitu ni tamu balaa
Breaking bad.. Ni Moto..Ni namba moja duniani kote..inaanza kiupole sana.. season Ni kukutambulisha wadau wake..kiini cha story..kinaanza mwisho wa season 1 walipoanza kutengeneza madawa ya blue..Kwanini kila mtu aliyefanikiwa kuiangalia hii series ya Breaking Bad huwa anaishia kuiweka katika tatu bora ya series Kali alizowahi kuziangalia?
Ngoja nianze kuitafuta hii series,maana sio bure.
Nitajaribu kuiangalia.Breaking bad.. Ni Moto..Ni namba moja duniani kote..inaanza kiupole sana.. season Ni kukutambulisha wadau wake..kiini cha story..kinaanza mwisho wa season 1 walipoanza kutengeneza madawa ya blue..
Jersey....beachiiii...Breaking bad.. Ni Moto..Ni namba moja duniani kote..inaanza kiupole sana.. season Ni kukutambulisha wadau wake..kiini cha story..kinaanza mwisho wa season 1 walipoanza kutengeneza madawa ya blue..
Aisee najuta sana. Hivi kipindi wenzangu wanaangalia LA CASE DE PAPEP a.k.a MONEY HEIST mimi sijui nilikua wapi? Hii kitu ni tamu balaa
Ni nuksi aisee tusubiri season 4,,,,,sijui ELEVEN atakuja na ishu gani nyengineStranger Things. hii kitu iko pa sana.
Kwenye channel ganiTelegram ipo furu s1&2 in english bila subtittle