Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,794
- 33,412
ya kiboya sio kaliWakuu nimeangalia Hii Mr robot nimebakiza episode moja Nimalize season ya kwanza lakini nimepata wakati mgumu sana kuielewa wadau walioangalia hadi season 3 nipeni uzoefu vipi iko fresh huko mbele au ndio hivyo hivyo kama season 1.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ushanikata maini, na mm star akiwa demu basi sijui ni nini [emoji3][emoji3]mie tv show ambazo star ni mwanamke,huwa zinaniboa sijui kwa nini?
mie tv show ambazo star ni mwanamke,huwa zinaniboa sijui kwa nini?
[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38]Hii ilinishinda, imejaa ukatuni katuni mwingi for me.
niliangalia kwa kuwa sikuwa na series nyingine ya kuangaliaVipi kuhusu NIKITA??
Telegram ipo furu s1&2 in english bila subtittleWapi naweza kuipata (link) ya money heist yenye audio track ya kiingereza
I hate subtitles
Kali sana hutojutia ni action mwanzo mwishoVip kuhusu STRIKE BACK nasikia iko poa alie iona aseme
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...... asee kumbe tupo wengi wenye hii kasumba...... m stimu hua znakata kabsa....[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ushanikata maini, na mm star akiwa demu basi sijui ni nini [emoji3][emoji3]
Hii ni app gan mkuuView attachment 1134469
KWA SASA SINA SERIES NAYOIFUATILIA
NASUBIRI MONEY HEIST SEASON 3
Next month
Hii kitu ni Hatari Sanaa
Hii ni app gan mkuu