Jack Baur ile Season sio swaga zake kbs, yule anatakiwa kwenye mishe za military na issues za intelligence.Cjakupata mkuu, hii series ina ushoga shoga ndan au, nimechk season one epsode moja tu
Pale amezingua kuplay kama raisJack Baur ile Season sio swaga zake kbs, yule anatakiwa kwenye mishe za military na issues za intelligence.
Anyway, money is the driver!
Hii imeniboa sana,imejaa ushoga wa wazi wazi kabsa,naanza kuamini kuwa series nyingi zinazokuwa cancelled ni zile zisizokuwa na mambo haya kishenzi,,hii toka huko nyuma sikuona mambo haya,,leo hii Season 3 wanatuletea ushoga,ikumbukwe tu hii kabla ya Netflix kuichukua,tayali ilisemekana imekuwa banned,,Netflix wamekuja na season 3 kwa mashart ya ushoga kuwepo,,kwangu mimi imeniboa sana!!!Designated Survivor tayari mzigo wote uko kwa hewa
Yes,,season 10 inakuja mkuuWorking Dead bado inaendelea kweli jamani?
Netflix wamealibu sana kuingiza ushogo imenishinda kwa kweli
Wamezingua kinoma,hii imenishinda kabsaCjakupata mkuu, hii series ina ushoga shoga ndan au, nimechk season one epsode moja tu
Swamp thing imekua cancelledSwamp thing
Worriors
Maudhui ya terrorism nayaelewa sana, ngoja niifuatilie mkuuWakuuu kuna kigongo kinaitwa...Deep State iko Season 2 now....ikooo pouwa(intelligence,politics ,terrorism .....)
Hii ilinishinda, imejaa ukatuni katuni mwingi for me.Wewe sasa ndo unajua. Chukua breaking bad, hutajutia.
Hii ilinishinda, imejaa ukatuni katuni mwingi for me.
Hii ilinishinda, imejaa ukatuni katuni mwingi for me.
Mkuu kaa tulia angalia ukifika s02 utatoka ata nje ni bonge la series mimwenyewe nilikuwa kama wwwHii ilinishinda, imejaa ukatuni katuni mwingi for me.
Ha ha, nitafuata ushauri wako mkuu, shukran.Mkuu kaa tulia angalia ukifika s02 utatoka ata nje ni bonge la series mimwenyewe nilikuwa kama www
Poa mkuu, nilicheki season one tena epsode one tu.Season 1 lazima ukuboe, ila frm Season 2 hautaiacha kamwe! Nzuri sana
Ha ha, yawezekana ni kwa vile niliangalia episode moja tu mkuu, ngoja nitafute mda niifuatilie zaidiDah tumetofautiana taste mkuu,yani mimi iyo ndo namba 1 zingine zinafuata
Kuna kitu inaitwa jett imeanza vizuli sana
mie tv show ambazo star ni mwanamke,huwa zinaniboa sijui kwa nini?Kuna kitu inaitwa jett imeanza vizuli sana