Series (Special thread)

Waandaji wa Game Of Thrones Wamepanga Kukaa Nje Kabisa Ya Mji...
-
Waandaaji wakuu David Benioff na D.B.Weiss wamesema Wana mpango wa kuondoka nje kabisa ya mji wanaoishi na kukaa nje ya mitandao pia ili wasisikie maoni ya watu baada ya mchongo huo kumalizika.
-
Wanasema Mwisho wa Season 08, Unaweza kuwakera watu wengi sana...Hivyo hawataki kero za watu zije ziwaathiri hadi wao.
-
C&P
 
Hawa jamaa ni mbwa sana...mimi kwa ufupi wamenikera mpaka sasa hivi..
Unaweza kushangaa episode ya 6 Daenerys akamuua arya na jon snow...
Bora iishe niendelee na the walking dead tu
 
Hii pia iko vizuri sana
IMG_20190511_234009.jpeg
 
Km unahitaji muv za kizungu China Korea india na whole world katika hd version 480 720 na 1080 bila kusahau series zote za kikorea na kizungu tumia hii Web hutajutia hayo ma App sometimes Yanazinguaga

www.lightdl.xyz
 
Na hainaga Ads yan unabrows smoth bila pop up ads km ni korea unapata na directing link ya kudownload subtitle zake this is u'r web

U'll thank Me later
 
Hivi wadau kati ya Homeland na The Wire ni ipi kali zaid!??. Natafuta series ya kuangalia ndio najiuliza kuhusu hizi mbili. Homeland VS The wire
NI taste mbili tofauti lakini zote ni kali kulingana na eneo lake! Nadhani The Wire ipo juu zaidi, hususani kama unapenda series za mtaa; ni aina fulani ya Power lakini the Wire ni ya Kimtaa zaidi kiasi kwamba wakati mwingine mtu anaweza kuongea na usimuelewa kwa sababu wanapiga ile lugha ya mtaa kabisa!
 
Unaongelea hii episode ya 5 au? Hyo plot twist mi nimeipenda sana, story nzuri haitakiwi iwe inatabirika sema Cercie na Euron Greyjoy wamekufa kizembe sana!
Naona watu wame-mind character ya Dan kuwa completely destroyed, to the point inaonesha hafai tena kuchukua The Iron Throne! Na kwa lile tukio, I doubt hata kama Jon Snow ataendelea kumwachia lile taji huku Arya na yeye nikimuona kabisa akipiga mahesabu ya kumuua yule Dragon aliyebaki!
 
Yeah nawaelewa sema watu wanasahau kwamba yule ni pure targaryen, roho ya kikatili kama ile ipo kwenye damu yao,na huo ndo uzuri wa series wenyew maana at the end of the day mtu mmoja tu ndo atashinda Game of thrones na kukaa kwenye kile kiti,na Jon ndo mwenye haki zote na pia ndo anaependwa na wengi hvyo baada ya ile siri kutoka there was no way out ilikuwa tu lazima yy ndo awe King na Danny asingekubaali hicho kitu..Nachoona sahv Danny lazma afe sema swali ni nani atakae muua either ni Jon mwenyew au Arya.
 
ALIAS
ya zamani kidogo but bonge la series.

A young woman learns she has a familial history of undercover work and agrees to become an international spy for a supposed secret branch of the CIA. The secrecy complicates her social and love lives, but it's nothing compared to what happens when she finds out her employer has no ties to the CIA.
Awards: Golde
 
Waandaji wa Game Of Thrones Wamepanga Kukaa Nje Kabisa Ya Mji...
-
Waandaaji wakuu David Benioff na D.B.Weiss wamesema Wana mpango wa kuondoka nje kabisa ya mji wanaoishi na kukaa nje ya mitandao pia ili wasisikie maoni ya watu baada ya mchongo huo kumalizika.
-
Wanasema Mwisho wa Season 08, Unaweza kuwakera watu wengi sana...Hivyo hawataki kero za watu zije ziwaathiri hadi wao.
-
C&P
lete source ya hiki ukisemacho
 
Similar Discussions

67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom