makorere
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 2,012
- 1,528
Hii series niliacha kuangalia baada u kuona jamaa mmoja kamaster kila kitu yaani yeye ni jambazi, detective yeye, Jack of all trade
Mkuu mim nipo chuga ..uko maeneo gani nikucheki? Naitafuta sana iyo series..The chi iko poa sana season 2 sijui wataiachia lini
kama upo arusha njoo uchukue
Ulitakiwa uendelee kuuiangalia ili ujue jamaa ilikuwaje hadi kamaster kila kitu... Kuna bonge a stori nyuma yake kama ukiweza kuunganisha matukio kuanzia season 1Hii series niliacha kuangalia baada u kuona jamaa mmoja kamaster kila kitu yaani yeye ni jambazi, detective yeye, Jack of all trade
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa itakuwa aliishia kipindi kile E.Keen anaujauzito akafake kifo chakeLabda alimaanisha kifo cha tom, saivi namuona kwenye series nyingine mpya
Sent using Jamii Forums mobile app
kama kule nyuma Mbona jamaa anaonekana yuko updated zaidi na series, kwanamna alivyoandika inaonekana hajaacha kipande nyuma..Jamaa itakuwa aliishia kipindi kile E.Keen anaujauzito akafake kifo chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nipe darasa kdg kwenye hii, naona ni nzr bt option ya kusachi movie au series ninayotaka naona kama siielewi hvi.
Kweli mkuu gb zangu hazitaenda bure maana nilikua nasita kuipakua??
Nimedownlod epsod moja imechukua zaidi ya lisaa mkuu, via bando la voda na cm tecno camon.
Mzee mwenzangu inaendelea hii series, kesho tarehe 24 March S03E09
Bado unatapeli tu??Aya ile ofa ya bundle Halotel ipo hewani now welcome once again
Ila ndo Season ya mwisho kutokaa...Mzee mwenzangu inaendelea hii series, kesho tarehe 24 March S03E09
http://linkshrink. net/7k3xCw# pakua hapo.Hivo into the badland ishaachiwa au?
Hapo kwenye dot net toa space maana najaribu kuweka full link inagom
Wajinga hawaishi mkuu,anaweza kuwapata