mashish
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 831
- 544
Ishatoka mkuuThe enemy within episode 4
Ishatoka mkuu
Poa ngoja niipakue..Imetoka tangu juzi
The wire tamu sana ni maisha halisi kabisa ya mtaani na polisi, hata obama alishawahi kusema the wire ni serie anayoipenda
Tafuta TTCL ya chuoUnatumia Kifurushi Gani Kushusha Series? Mim Nilikuwa Natumia Voda Night Pac Gb 4 Lakini Sasa Wamepunguza Zimebaki Gb 2
Halotel wana usiku ofa internet bure kasi kubwa unlimited downloads kuanzia sita usiku hadi 12 kamili kwa buku tu.Unatumia Kifurushi Gani Kushusha Series? Mim Nilikuwa Natumia Voda Night Pac Gb 4 Lakini Sasa Wamepunguza Zimebaki Gb 2
The chi iko poa sana season 2 sijui wataiachia liniView attachment 1045789
View attachment 1045790
Jamani nataka kushusha hizi kitu hapo badae vp ni nzuri? Kabla sijapoteza bando langu
Sent from my iPhone using JamiiForums
poa ngoja niitafuteHalotel wana usiku ofa internet bure kasi kubwa unlimited downloads kuanzia sita usiku hadi 12 kamili kwa buku tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
watu wanasema speed ya kobe
Inategemea na mahali ulipo kwangu iko vizuriwatu wanasema speed ya kobe
Hamna movie downloaded nzuri kama hii, sema inahitJi uwe na GB za kutosha, kama hutojali nitumie Email yako Pm nikutumie link ya Piratebay ambayo haitokusumbua, lkn kabla ya hilo hakikisha una UttorentMkuu bado chenga huku kwangu,piratesbay aikubali!
Kifo cha Elizabeth keen??? Mkuu we upo season y ngap?Series kama the Blacklist haitakiwi kuwa na Mwisho kabisa, ile series ni nuksi, imekaa kijasusi sana, vitu vingi sana unaweza kujifunza kupitia ile series, James spade (Raymond Redington ) kaicheza vizuri sana ,japo kifo cha Elizabeth keen kilihalibu sana mwendelezo Wa ile series, kwa yeyote ambae hajawahi kuona hii kitu anasitahili aitafute na kuicheki mwanzo mwisho, Imejaa ujasusi Wa kutosha, Ukiipata ifuatilie kwa umakini sana utaelewa nachomainisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiibkitu no fire kwa kweliSeries kama the Blacklist haitakiwi kuwa na Mwisho kabisa, ile series ni nuksi, imekaa kijasusi sana, vitu vingi sana unaweza kujifunza kupitia ile series, James spade (Raymond Redington ) kaicheza vizuri sana ,japo kifo cha Elizabeth keen kilihalibu sana mwendelezo Wa ile series, kwa yeyote ambae hajawahi kuona hii kitu anasitahili aitafute na kuicheki mwanzo mwisho, Imejaa ujasusi Wa kutosha, Ukiipata ifuatilie kwa umakini sana utaelewa nachomainisha.
Sent using Jamii Forums mobile app