Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,277
- 33,587
Aiungi kwenye torrent magnetic,nadhani iko njiani kurudi now haijakua sawa badoPiratebay imerudi mkuu,pia kuna app inaitwa popcorn time zote zipo vizuri
Aiungi kwenye torrent magnetic,nadhani iko njiani kurudi now haijakua sawa badoPiratebay imerudi mkuu,pia kuna app inaitwa popcorn time zote zipo vizuri
Jana nmedownload movie kupitia hyo piratebay,na ikaingia magnetic torrent mkuu,nafikiri ujaribu tenaAiungi kwenye torrent magnetic,nadhani iko njiani kurudi now haijakua sawa bado
Ngoja nijaribu mkuu,shukranJana nmedownload movie kupitia hyo piratebay,na ikaingia magnetic torrent mkuu,nafikiri ujaribu tena
Pamoja bro!Ngoja nijaribu mkuu,shukran
Mkuu bado chenga huku kwangu,piratesbay aikubali!Jana nmedownload movie kupitia hyo piratebay,na ikaingia magnetic torrent mkuu,nafikiri ujaribu tena
Nimejaribu lkn sijaweza namna ya kudownload movie zingine zaidi ya hii legacies yenyeww
https://medeberiyaa.comWakuu site gani kwa sasa naweza kudownload series,maana nilikua natumia extratorrent na 13377x zenyewe zimefungwa?
Kwaiyo mkuu into the badlands imekosa soko kiasi cha kui cancel?Sio AMC tu mzee baba Tv station kibao hufanya hvyo na hyo hutokana na sababu mbalimbali.
1. Viewers na ratings wa hyo show kupungua sana mpka inakuwa hasara kuendelea na production.
2. Creative timu ya hyo show kumove on/kuondoka na hvyo show ikakosa ideas nzuri kuendelea.
3. Show ikichelewa sana kuchanganya alafu production cost kuwa kubwa kuliko mapato wanayoingiza.
Hizi ni common reasons sinazofanya Show nyingi kuwa Cancelled.
Ngoja nijaribu mkuu
Wakuu site gani kwa sasa naweza kudownload series,maana nilikua natumia extratorrent na 13377x zenyewe zimefungwa?
Kama IPO dar nicheki nikupatieThe wire nzuri kweli.. Ebu nishawishi kidogo episode za mwanzo zimeniboa tu!!