Series (Special thread)

IMG_1824.JPG
Kuna hii kitu mpya kabisa season nzima ya kwanza bado ya moto
 
Mnao SEMA widow iko poa mi sijaona kitu kwa kifupi mi natazama series tofaut tofaut so kinapo kuja kitu kipya iwa najua kabisa hii ni Kali

Kwa kifupi mwaka huu series Kali kabisa ni The Punisher tu.

Widow hakuna kitu, sijui FBI nothing, manifest chenga, strike back Bora wangeaachaga wale jamaa wa mwanzo tu awa chenga, the walking dead chenga,
 
Basi wewe ndo CHENGA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom