Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,230
Mkuu unatania au upo serious?
Hakuna series ya Kifala kama CONDOR
what a lovely Day!!
Hakuna series ya Kifala kama CONDOR
what a lovely Day!!
Hakuna series ya Kifala kama CONDOR
what a lovely Day!!
Wewe ndo umeelewa nilichomaanisha..Kwa kweli tupo pamoja,ilianza vzr saana lkn ukifika episode ya tano na kuendelea wameigiza upupu tu.







Kuna kitu mpya inaitwa the enemy within ndio imeanza naona iko poa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Season 3??Niliona tweet moja ikisema netflix wamecancel punisher
The passage naona imekuwa na flashback nyingi mpk imeanza kuniboa
nimeicheki iko poa sanaKuna kitu mpya inaitwa the enemy within ndio imeanza naona iko poa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu mpya inaitwa the enemy within ndio imeanza naona iko poa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuwa ya hovyo sana.. Vip ep6 ishatoka..The passage naona imekuwa na flashback nyingi mpk imeanza kuniboa