Kwamba ile No Easy Days ina episode nane tu au naona maruwe ruwe mi mwenyewe au wameisitisha maana ilishaanza kunoga sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Narudia tena kwa faida ya wengi! Make sure unaangalia....
#CONDOR
#OZARK
alafu uje unipe feedback chap!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe tuko wote! Plots zake zinaisha fasta fasta na easy to predict what is next!Nimeangalia episode moja tu ikani bore nilipo ona rais anaachia madaraka kizembe zembe,nikajua ni kimeo.
Sasa unaposema imenoga huko mbele natamani nizicheki episode zingine.
Namba 2 ni hipi na 3 ni hipi...Umenishawishi kuitazama hiyo series wacha niisake.My #1 Series... na linapokuja suala la espionage series, sidhani kama kuna ya kuikaribia!
Tena kali kweli kweli naiman kuliko za mwanzoPunguza uvivu nadhani hii ndio season ya mwisho baada ya kuangalia episode hizi mbili
Ipo vzr sanaNimeangalia episode moja tu ikani bore nilipo ona rais anaachia madaraka kizembe zembe,nikajua ni kimeo.
Sasa unaposema imenoga huko mbele natamani nizicheki episode zingine.
My Top 5 ni:-Namba 2 ni hipi na 3 ni hipi...Umenishawishi kuitazama hiyo series wacha niisake.
Bella Ciao Italian by Red Army Choir | La Casa De Papel song (Lyrics/Paroles) - YouTube https://www.youtube.com/watch?v=deaCTvtGfNsHahaha Bella Cìao bonge la song
Ha ha umeielewa mkuu??
Humu naona movie na series addict ni wachache sana imagine mtu mpaka mwisho wa 2018 hajaiona Banshee au GOT aiseeeLanisters wapuuzi sana, kuua wageni siku ya wedding dah, huwa napenda kurudia rudia hii series ila hapo tu ndo huwa napafoward.
Season 8 itakuwa balaa sanaNgoja nisubiri season 8 mwendo wa The Dead VS The Living.
GOT haitabiriki MkuuWatakufa wengi tu naona litaisha kama muvi la kihindi..
Ila yule dogo Arya atafika mbali
Series ipi nyingine ambayo ipo na maudhui kama ya Banshee,,,na yale mambo ya 18+ kwa sana,,tofauti na PowerHumu naona movie na series addict ni wachache sana imagine mtu mpaka mwisho wa 2018 hajaiona Banshee au GOT aiseee
nazan hizi 2 ni kiboko sanaaSeries ipi nyingine ambayo ipo na maudhui kama ya Banshee,,,na yale mambo ya 18+ kwa sana,,tofauti na Power
Kweli kabisa, In GOT any body can die, Unaweza shangaa Mara paaaap.....! Episode ya kwanza tu season 8 Jon Snow kafa. πππππGOT haitabiriki Mkuu
Ilifutwa hiyoDaaah nimeimiss tyrant hivi wakuu ndo haitaendelea au mpaka iwe rated sana
Sent using Jamii Forums mobile app