Series (Special thread)

Wakuu vip Condor ishtoka Season 2?

The Bodyguard je kuna muendelezo...

Then nisaidieni series zinazoendana na hizo hapo juu...

Kwa sasa Naangalia The Americans inanipa burudani ya kutosha..

The Americans ni balaa, wale warussia ni noma
 
Hivi breaking bad nzuri.. niliangalia mpaka episode ya 4 nikaona inanichosha tu...

Na The Wire vip nayo.. naona inaelekea kunishinda maana hamna hamsha hamsha kabisa
Breaking bad inaanza kichovu baadae inachanganya katika ubora wa hali ya standard geji
 

Angalia tena mkuu ukishaizoea hutajutia
 
GoT ya kawaida mkuu?
 
Huwa nina hesitate kuianza the Americans, mnishauri please....!
Upo kama mimi, kila nikijaribu kuianza nahisi uchovu.
Kuna kipindi wakati GoT ipo hot nilishawishika namimi nianze kuichek, daaah niliishia episode 2 tu za mwanzo nikaona maruweruwe nkaipiga chini. Ila baada ya kukosa kabisa cha kuangalia nikabidi niirudie aiseee mbona nikawa mlevi wa GoT mazimaaaa
 

hio got mnamaanisha gotham ama ???
 
Uyu Mimi kabisa jamaa
 
GoT ya kawaida mkuu?

got si ya kawaida mkuu. subirinikuhabarishe kidogo tu kwa nini got ni bonge la series
1) kitu cha kwanza got character wake kila mmoja anajitegemea. tuchukulie mfano series zote character anakua mmoja na wengine wanamtegemea. ukiangalia preson yenewe, ukimtoa scofild character wote wanamtegemea yeye. maana yake bila yeye hakuna kission nyengine zinazoenda. inshort ni one man show lakini got iko tofauti.
2) kwa kila character wa got unaweza kutengeneza series nzima. chukulia mfano jon snow maisha aliyopitia unaweza tengeneza series, chukulia arya maisha yake unatengeneza series, chukulia deanary unaweza tengeneza series, chukua tyrion unaweza tengeneza serie. kwa iyo kila character ana sia ya pekee ya maisha aliyopitia
3) kila kingdom inajitegemea na ina mfumo wake wa maisha na pia ina historia yake imepitia
4) kwenye got kila linaloongelewa basi linahusu something na sio pumba tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…