Series (Special thread)

Series (Special thread)

Liberty ni series ya Kidenishi inayozungumzia maisha yao katika miaka ya 80 walipokuwa na miradi kadhaa hapa Tanzania.

Wengi watakuwa wanakumbuka DANIDA na miradi yao ya maendeleo... Series hii imechezwa katika Mji wa Moshi kwa sehemu kubwa, aidha maeneo ya Mererani, Kenya n.k.

Ni series nzuri, ingawa haina hata muigizaji mmoja toka Tanzania, licha ya kuwa inahusu Tz na kiswahili ni moja ya lugha tatu zilizotumika.

Swali kubwa ninalojiuliza ni kwanini series hii imechezwa South Africa badala ya Tanzania ilhali inaelezea maisha ya Moshi Tanzania?
 
hivi rick wa TWD(the walking dead ) inamana ndo mwisho kuonekana katika hii series ama mana hii s09e05 jamaa wamesema ni last episode kuonekana na jamaa ameoneshwa amesaidiwa bahada ya kulipua dalaja kua alianguka mtoni na akawa mzima swali ni je tumtegemee onekana tena mbeleni ama ndo kama walivyosema ni last episode mana yeye ndo kama main character kwenye TWD.
 
Ni noma hii "MANIFEST"
Ila ni from a true story,ndege ilitake off mwaka 1955 florida kuelekea New york ikapotea kwa mda wa miaka 37,ikaja kutua mwaka 1991 jijini caracas...na wamarekani walificha conversation iliyokuwa baina ya rubani na tower control.
Ilikuwa "pan america,flight 914"
Hii ni ipi? Twambie tuicheki
i noma hii "MANIFEST"
Ila ni from a true story,ndege ilitake off mwaka 1955 florida kuelekea New york ikapotea kwa mda wa miaka 37,ikaja kutua mwaka 1991 jijini caracas...na wamarekani walificha conversation iliyokuwa baina ya rubani na tower control.
Ilikuwa "pan america,flight 914
 
Hii imetoka season 2???
mkitaka pata link ya series kwa njia ya direct link namaanisha bila torrent nenda google kisha andika index of "jina la series" kisha search njia hii ni nzuri mana kuna site uwaga siries zingine azipatikani kwa njia hii utazipata mfano index of money heist season 2 720p. njia hii pia utaweza download chochote kama music movies na software .
...........................ENJOY...............................View attachment 899054View attachment 899060
 
Ni noma hii "MANIFEST"
Ila ni from a true story,ndege ilitake off mwaka 1955 florida kuelekea New york ikapotea kwa mda wa miaka 37,ikaja kutua mwaka 1991 jijini caracas...na wamarekani walificha conversation iliyokuwa baina ya rubani na tower control.
Ilikuwa "pan america,flight 914"i noma hii "MANIFEST"
Ila ni from a true story,ndege ilitake off mwaka 1955 florida kuelekea New york ikapotea kwa mda wa miaka 37,ikaja kutua mwaka 1991 jijini caracas...na wamarekani walificha conversation iliyokuwa baina ya rubani na tower control.
Ilikuwa "pan america,flight 914
Ya kweli haya??????
 
Manifest ipo vzr sana

Nimetizama hadi epsode ya 6,,tayali imeendelea mkuu?
 
Ni noma hii "MANIFEST"
Ila ni from a true story,ndege ilitake off mwaka 1955 florida kuelekea New york ikapotea kwa mda wa miaka 37,ikaja kutua mwaka 1991 jijini caracas...na wamarekani walificha conversation iliyokuwa baina ya rubani na tower control.
Ilikuwa "pan america,flight 914"i noma hii "MANIFEST"
Ila ni from a true story,ndege ilitake off mwaka 1955 florida kuelekea New york ikapotea kwa mda wa miaka 37,ikaja kutua mwaka 1991 jijini caracas...na wamarekani walificha conversation iliyokuwa baina ya rubani na tower control.
Ilikuwa "pan america,flight 914
Mashaka matupu .....ukweli ni mdogo mnooo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom