Series (Special thread)

Kwa mchakamchaka...24 bado naipa high ranking sana. Jack Ryan nimeipenda pia....ingawa naona ina emotion moments nyingi...na few hard decisions. Katika scene nilizozipenda hadi sasa ni pale wanamchukua yule mama na watoto wake beach...it was so interesting jinsi yule mdau mwenye danguro jinsi alivohandle ile situation.....it was so interesting....!
Jack Bauer ni vigumu kumfananisha na Jack Ryan. Bauer kwenye hard decision na upredictable issues ni mtaaram sana. Pia plots anazopanga huwa ni complex na ni vigumu kumpredict. Sometimes anapingwa na wote na kukataliwa but he rises mshindi.

Bauer mateso anayapitia sana lakini bado hubaki mzalendo. Napenda pia the way he talks n how he handle simple n sophisticated matters. So 24 ni habari ingine.

Hii ya Jack Ryan nayo imeanza vzr sana na wamefanya plots nzuri na haichoshi kamwe kuangalia. I like the idea n wish iendelee daima!

Atakayepata ambayo Jack Bauer kacheza ya action, adventure n drama tofauti na Designated survivor asisite kutujuza!!!
 
Umenena vyema...hakika...sina nyongeza....! To some extent kwenye hii Jack unaweza kupredict matukio....!
 
The last ship S05E01 ishadondoshwa, kuna alie icheki, mie nasubiri zijae jae...
Nadhan adi sasa watu hawafahamu kuhusu hii kitu
Screenshot_2018-09-10-14-13-34.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom