Mkuu kila mtu Ana aina yake ya Show anazozikubali na haimaanishi asipopenda unachopenda kwamba sio mtu wa Filamu. Ndio maana kuna watu wanapenda show za Comedy, Crime, Sci-Fi, nk..
Category hizo zimewekwa kwa lengo hilo.
In short mimi sipend show zenye technology sana au zile zenye maudhui ya kale mfano GOT, Vikings nk kwangu ni




.
Show ninazopenda mimi ni mfano 24, Homeland, Banshee, Money heist, The Last Ship, Safe, Fargo, Power, Queen of the South, Shooter the list goes on yani..
So you ukija kwenye series yenye mlengo huo, njoo na swali afu utajua mimi ni mtu wa Show ama nini

Sent using
Jamii Forums mobile app