JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,324
- 17,911
Alikuwa anatumwa na anko wake,Joe,ilikuwa ni master plan ya chief spycheki ep10 gabrielle mzima kabisa kumbe kila mara alikua hamuui Joe coz anamzimia kaenda hadi kumcheki jamaa after 1 year akiwa na kumtakia maisha mema
Sent using Jamii Forums mobile app
So plan ya Bob ni nini??? Mbna kuna wakati Bob anamwambia joe run.???Alikuwa anatumwa na anko wake,Joe,ilikuwa ni master plan ya chief spy
Sent using Jamii Forums mobile app
Narudia tena swali langu Wakuu..
Naomba mtu anipe list ya Season Kali zenye maudhui kama..
1.24
2.Prison Break
3.Banshee
4.Homeland
5.The Brave
6.Strike Back.
7.Designated Survivor
8.American Odyssey
9.Six
10.Seal Team
11.Our Girl
12.Taken
13.Shooter
14.Queen of the South
15.Shots Fired
16.8 Seconds
18.Safe
19.Fargo
20. Dexter
21.Ozark
Please zenye mfanano na hizo. Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
ipo hadi ep 12 Rebecca anakufa mwishoni na yule niga director wa national intelligence anajiuaMkuu hii 24 Legacy ilizuliwa au? Maana mimi nimeishia season 1, episode ya 11.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongezea na 'Tears of the sun'... ni nuksi nyingine hiyo muviWakuu samahaani kwa kutoka nje ya content ya uzi,
Nahitaji movies zinazoelezea matukio ya nchi za afrika ya vita ya wenyewe kwa wenyew,waasi ama kugombania madaraka,mfano hotel rwanda,john mad dog sarafina n.k
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
zote ziko hapa Index of /94/series/ tafuta idm utaenjoy seriesWadau msaada pleas kuna link unatumia vidmat au brows Ku download na unatumia herufi ya mwanzo ya movie hiyo na unapata movie nyingi
Mwenye nayo atume maana thread imekuwa na pages nyingi mpaka nashindwa kuitafuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Movie play box ndo dawa ya matatizo yote ya seriesMkishamaliza kuzitaja muanze kutaja na mahali zinapopatikana online ili iwe rahisi kuzipakua.
CAMERON BLACKDeception
Inahusiana na masuala ya MAZINGWAOMBWE yanapotumika katika kufanya uhalifu, lakini pia ni namna MAZINGWAOMBWE yanavyotumika kuzuia uhalifu, na kukamatwa kwa wahalifu. Asee humo ndani ni balaa nahisi nina mengi ya kusema ile ndio hivyo tuu
Jonathan BlackCAMERON BLACK
Traveler ya wale madogo flan hv,, walihusishwa na mlipuko wa bomu kwenye jumba la makumbusho??Kuna series moja iliishia njiani sijui walishindwana kwene malipo ilikuwa inaitwa TRAVELER ILIKUWA HATARI SANA INA SEASON MOJA NA EPISODE 7 tu
Hatar sanaInahusiana na masuala ya MAZINGWAOMBWE yanapotumika katika kufanya uhalifu, lakini pia ni namna MAZINGWAOMBWE yanavyotumika kuzuia uhalifu, na kukamatwa kwa wahalifu. Asee humo ndani ni balaa nahisi nina mengi ya kusema ile ndio hivyo tuu