cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,055
- 10,047
Luke cageKushindana na series nishashindwa aseh, kila siku zinakuja mpya na nzuri zaidi.
Altered Carbon
Cloak and Dagger
Impulse
Luke Cage
Stan Lee the Lucky Man
Deviance
The Gifted
Purge
Dr. Who
Timeless
103+ series 7089 episodesMimi nimeangalia series kama 60+ hapa naona taabu kuziandika
Narcos ni episode 1 tu ndo nimeangalia ila hizo nyingine zote nimeangalia but nimeipenda Power na Walking Dead hautabiri nani atakufa!.. Angalia na Fear the walking Dead sasa!Luke cage
Jessica Jones
Iron fist
Narcos
The punisher
Dare devil
Power
Flash
Arrow
Cloak and dagger
Legend of tmr
Walking dead na nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Banshee ukiangalia ina scene za ngoni kinyamaThe strain , Banshee( PG is highly advised)
Uje utupe mrejesho kama ni kali au la..
Ndo tatizo lake ila story wise iko vzr ...Banshee ukiangalia ina scene za ngoni kinyama
The strain ni noma aisee ni horror series lakin story na mtiririko wa matukio iko vzr hauwezi predict kijachoHahaha the strain shem wako alikua anapata mishtuko 'kelele' wakati wa usiku ila yeye ndo wakwanza kuleta external disc..aliipenda na tuliimaliza yote.
Namkubali sana yule Quinlan Victus
Sent using Jamii Forums mobile app
103+ series 7089 episodes
1.sharelockNarudia tena swali langu Wakuu..
Naomba mtu anipe list ya Season Kali zenye maudhui kama..
1.24
2.Prison Break
3.Banshee
4.Homeland
5.The Brave
6.Strike Back.
7.Designated Survivor
8.American Odyssey
9.Six
10.Seal Team
11.Our Girl
12.Taken
13.Shooter
14.Queen of the South
15.Shots Fired
16.8 Seconds
18.Safe
19.Fargo
20. Dexter
21.Ozark
Please zenye mfanano na hizo. Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umeielewa list yangu vizuri, sijaweka Sci and fictions Series..1.sharelock
2. narcos
3 condor
4. strange things
5. True detective
6. The chi
7. snowfall
8. house of cards
10. better call saul
Last shipNarudia tena swali langu Wakuu..
Naomba mtu anipe list ya Season Kali zenye maudhui kama..
1.24
2.Prison Break
3.Banshee
4.Homeland
5.The Brave
6.Strike Back.
7.Designated Survivor
8.American Odyssey
9.Six
10.Seal Team
11.Our Girl
12.Taken
13.Shooter
14.Queen of the South
15.Shots Fired
16.8 Seconds
18.Safe
19.Fargo
20. Dexter
21.Ozark
Please zenye mfanano na hizo. Natanguliza shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Black Hawks DownWakuu samahaani kwa kutoka nje ya content ya uzi,
Nahitaji movies zinazoelezea matukio ya nchi za afrika ya vita ya wenyewe kwa wenyew,waasi ama kugombania madaraka,mfano hotel rwanda,john mad dog sarafina n.k
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Inahusu nini mzèe....natafuta seres nzuri so far baadhi ya series zang kali ni got,money heist,taboo,vkngs,atlanta
KabisaKwangu Series Kali itabaki prison break