Series (Special thread)

Naipenda sana sky people hiyo
 
Kuna series inairwa le casa de papel au money heist ......aaah hii ni shida nimesurrender apa sijacheki series kwa muda mrefu uku nikitabasamu ....awa netflix ni shiiiida.....wameongea kispain ila kwa subtitle pekee unaenjoy aiseee
 
Sawa
 
NAWEZAJE KUDOWNLOAD SERIES KWA PC, TORRENT ZIPO SLOW
NA INDEXES ZINAHITAJI UWE KARIBU UNARESUME
 
NAWEZAJE KUDOWNLOAD SERIES KWA PC, TORRENT ZIPO SLOW
NA INDEXES ZINAHITAJI UWE KARIBU UNARESUME
Mkisoma comment nyingi humu sio tu za Ku discuss movie wengi wanaelekezwa jinsi ya kudownload na application kibao zinawekwa. Inafika kipindi watu wanachoka kurudia jambo moja kwa Mara nyingi. Soma tu comments utapata
 
Condor E09 imeishia pazuri
Gabriella na Joe wamepata ajali

Ila Gabrielle kamuachia ujumbe mzuri Joe, kuwa kwa sasa utajiona uko safe ila siku moja usiyotegemea, siku ambayo utakua ushasahau , gari itakuja penbeni yako na mtu, pengine umjuaye atashuka na kukuua
 
cheki ep10 gabrielle mzima kabisa kumbe kila mara alikua hamuui Joe coz anamzimia kaenda hadi kumcheki jamaa after 1 year akiwa na kumtakia maisha mema

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…