Series (Special thread)

Ndugu zanguni natafuta mtu mwenye Homeland kuanzia season 1...tutafutane tafadhali niko Dar maeneo ya Upanga
 
Mkuu tumia hata telegram pia kuna baadhi ya movie na series unaweza pakua kule kwa HD halisi kabisa
 
Mwenyd jina la series kal yenye mwendelezo plz week end hii nipo empty kbsa
 
Reactions: SDG
Hapana nipe intro kidgo mkuu ninze kuipakua sasa hiv maana sitok nje mpk monday
Aise, hii iko vzr sana ni Season 1 na ina epsode 10,,,inaelezea jinsi zile embassy za USA zilizolipuliwa 1998 huko Nairobi na Dar,, na jinsi al-qaida ilvohusika na Osama,, ni series tamu sana Aise maudhui yale kama ya The Brave, VALOR,,, imetoka Aprili mwaka huu
 
Mkuu nakushauri hiyo todaytvseries2.com
Japo ads ni nyingi sana lakini ukitumia browser kama Phx au zilizotoka na simu haitakupa shida. Zinaanzia mb 150-225
 
Mwenye collection ya series kama The Strain season 4 na kuendelea,Into the bad lands, Gang related,Atlantis season 2+ na kadhalika na kadhalika naomba tuwasiliane ili nkutafute leo hii.

Nitumie namba yako ili tuwasiliane
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…