Nimepitia huu ''Uzi'' kinaga ubaga.Nakupongeza mkuu uko vizuri kwenye series. ...
Nina ombi nina mpango wa kununu external hard disk soon.Unaweza nipatia series hata kama ni kwa malipo?
Mkuu,
Ni huhalisia tu, nimetizama hii show kuanzia season ya kwanza mpaka ya sita sasa sijawai kuona mtu anatumia handset, ni landlines tu na hata mavazi na computer ni za miaka hiyo.