Kuhamisha ndio sielewi namna mkuuHamishia video nyingine kwa external na nyingine ambazo hazina maana futa.
Hamishia maswal yako kwenye jukwaa la tech, mob, amd science,,, um tuulize series tuu ndo utajibiwaNikiwa na extenal memory yenye space kubwa zaidi kama 16gb itasaidia?
Yan asilimia 82.6 ya muv zako zote ni comedy na ni za 80s-90s. Duh bora na wahenga mmekuja umu maana duh, tumejaa vijana tu
Hao wataalam ata huku wapo kiongozHamishia maswal yako kwenye jukwaa la tech, mob, amd science,,, um tuulize series tuu ndo utajibiwa
Unachanganya matembele na sosageHao wataalam ata huku wapo kiongoz
Haya mkuu, ndo mana naona sijibiwi acha niyatenganishe sasaUnachanganya matembele na sosage
Ni pm namba yako nikupigie nikuelekezeKuhamisha ndio sielewi namna mkuu
Kwa experience yangu mara nyingi simu haziruhusu kuinstall new app kama space iko less than 500 mb internal memory na hivyo hivyo kama umechagua external kama umechagua kama app istln storage yako!Habari wakuu, simu yangu internal space ni 8gb, na extenal ni 5gb,internal space imebaki kama mb250 ila extenal ina zaidi ya mb600 lkn nikidowload app yoyote play store yenye space ya mb200 au chini ya hapo inaandika not enough space, hapo imekaaje wakuu na ninawezaje kuexpand space zaidi?
Mkuu kuna series inaitwa Hard sun iko vizuri sana hope umeshaziona Absentia na the oath1337x.to
clear cache data..mzigo unakua okayIko ivyo wakuuView attachment 719954
nimeona kama 6 hapaHii listi mmmmh
dah nimeona 6 hapa,,..uko vizuriiNINAZOZIPENDA
EMPIRE
POWER
ODD MOM OUT
2 BROKE GIRLS
MYSTERIES OF LAURA
MARLOW
MYSTERIES GIRLS
YOUNGER
YOUNG AND HUNGRY
SCANDAL
HOW TO GET AWAY WITH MURDER
MOM
LUCIFER
SHADES OF GRAY BY JLO
MIKE AND MOLLY
BEING MARYJANE
LIVING SINGLE
FRIENDS
MARTIN
COSBY SHOW
227
FRESH PRINCE OF BELAIR
power,scandal.,empire,being Mary Jane,2 broke girls..dah nimeona 6 hapa,,..uko vizurii
hahaha ukiona kali zaidi nambie..Nina zingine nimesahau jina tu nimeziangalia nyingi mno
dah nimeona 6 hapa,,..uko vizurii