Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mkuu hii 1337x. unatumiaje, mbona sijaielewa, Series nashindwa kuziona, naomba unielekeze
Hakikisha una torrent client kama utorrent, ingia kwa iyo site 1337x.to ,kuna sehemu ya kusearch, andika jina la series unayoitafuta, isearch, kisha zitakuja list ya series uliyoitafuta, chagua yenye quality kulingana na matumizi yako, ukubwa mdogo wa mb na seeders nyingi, alafu ukishachagua, itafunguka na download tab itatokea, ukishadownload torrent file, lifungue kwa kutumia utorrent tayari kwa kupakua series yako.
 
Install u torenti kwanza.
Ila hiyo web inakupa option ya search

thanks, lakini naomba link au nielekeze jinsi ya kuipata hiyo U torenti maana Naskia ipo locked, nlishindwa kuitumia kitambo sana nkawa natumia 02tv Series, pia Series nyingi Hamna, Mkuu embu nielekeze matumizi yake hii

thanks
 
Hakikisha una torrent client kama utorrent, ingia kwa iyo site 1337x.to ,kuna sehemu ya kusearch, andika jina la series unayoitafuta, isearch, kisha zitakuja list ya series uliyoitafuta, chagua yenye quality kulingana na matumizi yako, ukubwa mdogo wa mb na seeders nyingi, alafu ukishachagua, itafunguka na download tab itatokea, ukishadownload torrent file, lifungue kwa kutumia utorrent tayari kwa kupakua series yako.

thanks Mkuu lakini naomba link ya kushusha u torenti client au torenti sababu huwa Inanshind hasaaa, Then ukishadownload torrent file na ku search movie kwenye torrent, je itaku direct moja kwa moja kwenye movie katika 1337 X toau inakuwaje, yani uhusiano kati ya u torenti client na 1337 X to ni upi hasa

Kama ni simu ingia playstore search utorrent, idownload, kama ni pc ingia website ya utorrent.com download utorrent ya pc, ukishakua na utorrent kwa kifaa chako ingia 1337x.to tafuta series unayoitaka, download file lake, kisha lifungue ilo file kwa kutumia utorrent, hapo unakua umemaliza kazi na utorrent itakushushia mzigo wako.
 
Wakikujibu na mimi uniquote..
Maana natafuta subtitle kinoma niko na lastship hapa s4 lkn bila subtitle kuna utamu nakosa
Njia rahis sana kupitia terrerium yv kiboko ya app yyte ktk kudownloud movie na series,,kuna opp ya kuweka subtittles unapopenda

Nashangaa wanavyo hangaika na zingine
 
Jamani mzigo mpya naona utapunguza machungu ya GOT unaitwa TROY fall of the city Season one episode one umetoka leo
Troy
fe3deebfecb95026b29d7c74493fdb3e.jpg
 
Baada ya kuangalia last ship na punisher

Nataka kidownload series nyingine sasa nimekutana na hii "the unit" ya kitambo kama 2009 .
Kwa aliyekwisha iona ikoje???
Ni kali sana??
 
a4c474ebd7c6c65769417cb87fdbc6ec.jpg
12ce9d44fd37f8578646bdc68d283c53.jpg
c9007175b47c88bca856f24bce8841e7.jpg

Tumesubir sana wacha zikuje tena,jaman ipi inabamba niipakue maana the Strain nmemaliza tayar
 
Baada ya kuangalia last ship na punisher

Nataka kidownload series nyingine sasa nimekutana na hii "the unit" ya kitambo kama 2009 .
Kwa aliyekwisha iona ikoje???
Ni kali sana??
Sio ya kuhoji. The unit ni habari nyingine ila ni ya kitambo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom