Series (Special thread)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapiii wakati rich.com anafungiwa kwenye kichumba chake kile ambacho Patterson alimfata ili amsaidie kutoroka
Owh king wa oution za black market yule, pamoja na kumweka mle lakn bado ni danger to the FBI
 
Yaa imeanza kitambo ila inaendelea mpk leo
 
Yaa I mean anything kitambo ila inaendelea mpk leo
Basi ile mini series ya 2016 itakuwa ilipata review mzuri na hivyo kuamua kuirudisha rasmi manake series yenyewe iliisha hata kabla JK hajawa rais!
 
Dont f***ck with Peaky Blinder...daaah hii series ayse...ni sheeda...
Humu kuna wakina
Tommy Shelby, Arthur Shelby, John Shelby, Ada shelby na Polly
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…