Max unachekesha. Pita mitaa ya Tandalie CCM. Tandika, Mbagala, Kongowe, Tuangoma, Vingunguti, watu wanaangalia kwenye Vibanda umiza, hizo bongo muvi na movie nyingine za kiDHUNGU Zikiwa zimetafsiriwa uzuuuuuur na wataaalam kutoka mwanza na arusha Infact sio tafsiri bali Ni kusimuliwa
Kweli kabisa. Huku mtu anajiamulia tu mimi naigiza,akishaonekana ana sura nzuri wakishakula mzigo kesho unamuona na yeye anavaa vinguo vya mdogo wake vidogo kutuonyesha viungo vyao mbele ya kamera..wiki moja movie tayariii. MxiuuuuuuuBongo vipaji vipo ila havijiendelezi,wale unaowaona ambao mimi wewe na Maserati tunawapenda wanakwenda shule,si producers si waigizaji,na wanaskilizana,sisi huku muigizaji hajaenda shule,though ana kipaji lakini pia hashauriki.
Ukiangalia hao wenzetu kuna mtu amebobea kwenye utungaji,kuna wa script,kuna producer kuna muigizaji.
Season5 haikunoga.Homeland imerudi season 7
UtachekwaSeason5 haikunoga.
Six sijaiona kabisa
Kuchekwa si jambo geni kwanguUtachekwa
Naunga mkono hojaKama hujaelewa Homeland s5 bac ujue genre kama hiyo hutaielewa milele
Imeshatoka episode ngapiHomeland imerudi season 7
Jana ndio imeanza episode 1Imeshatoka episode ngapi
Yaani umewapatia kabisa, kwa mwendo huu bongo nitakubali mziki tuu ila movie sitapoteza pesa wala muda kufuatilia.Kweli kabisa. Huku mtu anajiamulia tu mimi naigiza,akishaonekana ana sura nzuri wakishakula mzigo kesho unamuona na yeye anavaa vinguo vya mdogo wake vidogo kutuonyesha viungo vyao mbele ya kamera..wiki moja movie tayariii. Mxiuuuuuuu
Kumbe mzee hukunielewa.Kama hujaelewa Homeland s5 bac ujue genre kama hiyo hutaielewa milele
Sema ukiwa na njaa hii inaangalikaKumbe mzee hukunielewa.
Nimekwambia "HAIKUNOGA"
Kwangu sikuiona kama ina mvuto,
Wewe unahisi haikueleweka.
Tofautisha kukosa mvuto na kutoelewa.
Na huo utabak kuwa mtazamo wangu,
Aah ngoja itembeetembee kwanzaJana ndio imeanza episode 1
Ko series gani iliyonoga kwako ya intelligence, crime, action?Kumbe mzee hukunielewa.
Nimekwambia "HAIKUNOGA"
Kwangu sikuiona kama ina mvuto,
Wewe unahisi haikueleweka.
Tofautisha kukosa mvuto na kutoelewa.
Na huo utabak kuwa mtazamo wangu,
Jana ndio imeanza episode 1