Series (Special thread)

Wamarekani ni wajanja wale yaani kama ni series ya kufichua siri zao watakapoanza mipango ya kuiact tuu itasitishwa haitafika mbali.
 
Yeah, show za hivi zipo nakumbuka moja inaitwa American Odyessy ya 2015 labda ndio unayoizungumzia , yaani zinaonesha kabisa the way hawa wakubwa wanaprofit from black ops wanzofanya overseas.
Nadhani hata hii Valor haitaendelea
 
Ndo hiyo hiyo,niliifuta baada ya kuskia haitaendelea,ni show mbaya kwa image yao wale jamaa,wapo makini sana
 
Asee mi nachek The Strain hapa kusubiria mambo zamg zikuje within two weeks kuanzia sasa
 
Ndo hiyo hiyo,niliifuta baada ya kuskia haitaendelea,ni show mbaya kwa image yao wale jamaa,wapo makini sana
Noma sana, wakifanya waarabu wanaita terrorism wakifanya wao wanaita 'modern warfare' , ila ndio hivo tena hamna namna inabidi tuangalie tu maana kwenye tasnia wao ndio wajuzi kushinda wengine
 
Wamarekan wametuweza sana hapo hatuchomoki.
 
Wamarekani ni wajanja wale yaani kama ni series ya kufichua siri zao watakapoanza mipango ya kuiact tuu itasitishwa haitafika mbali.
Na wanavyoji proud kila series au movie wanazozifanya wao wanaibuka washindi kuwaoiga mataifa mengine yalioact kama wapinzani kwao.
 
Lakino wapo smart kwenye kuigiza,ujue kuna mda unaweza ukadhani its reality.
Hawana choyo, hawana ubaguzi,angalia the brave pale kuna waarabu, pale kuna watu wanaoproduce wengine ni watu wa far east.
Na wanawekeza hela kwenye kuandaa, wameigizia Iran,Syria,Colombia,Mexico,Nigeria,Ufaransa,Spain na Us kwenyewe.
Lakini pia wanachokiigiza kina make sense,yale maneno wanayoongea utadhan hawajayakariri.

Nikimuangalia Preach,kwenye Banshee aliigiza as Banshee County Sheriff aliimudu vizur tu,leo ameigiza as SEAL member nako amemudu tena mtu wa mipango balaa.

Sisi huku mtu anataka kila siku aigize BOSS

Yaani aaargh washindege tu
 
Ila SDG ujue nakuheshimu. Naomba usiingizie mifano ya bongo movie Nini anaangalia kushoto na kulia avuke Barbara,jambazi anavua viatu...mie sitakiii
 
Am so sorry

Ila huenda hao bongo muvi hawaangalii SIZONI eenh'!!?
 
Ila SDG ujue nakuheshimu. Naomba usiingizie mifano ya bongo movie Nini anaangalia kushoto na kulia avuke Barbara,jambazi anavua viatu...mie sitakiii
Bongo bado sana aisee, vipaji vipo ila madirector na maproducer wazuri hakuna kabisa
 
Reactions: SDG
Bongo bado sana aisee, vipaji vipo ila madirector na maproducer wazuri hakuna kabisa
Bongo vipaji vipo ila havijiendelezi,wale unaowaona ambao mimi wewe na Maserati tunawapenda wanakwenda shule,si producers si waigizaji,na wanaskilizana,sisi huku muigizaji hajaenda shule,though ana kipaji lakini pia hashauriki.
Ukiangalia hao wenzetu kuna mtu amebobea kwenye utungaji,kuna wa script,kuna producer kuna muigizaji.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…