Yaah ningekuwa nishaimaliza sema nilikuwa naivutia pumzi. Sema na hivi niko likizo nakosa muda mzuri wa kuitazama.Naamini ungekuwa ushaimaliza kitambo Gustavo,Tuco,jesse pinkman, walter aka ww henselberg ! hatari sana.
Sijui but mmekuwa pacha katika watching i remember ulikuwa hupendi series za drug stuffs even GOTOoooh!! Maserati haujaangalia hii kitu?
hahahaha si ndo hapo mkuu ila uko vizur sanaHivi huko Marekani wizi ndo njenje hivi kama wa Letty kwenye good behavior
Yeah hata queen of the south niliiacha ila hii nimesisitiziwa sana ikabidi tu niijaribu.Sijui but mmekuwa pacha katika watching i remember ulikuwa hupendi series za drug stuffs even GOT
Kweli ni kias chake siy kiivoPunisher iko vizuri kiasi chake
Vip elchapo iko poa?Kwa wale waliokuwa wanafuatilia El Chapo imetoka season 2 jana uzur wa Netflix wanakupa episode zote 12.
https://bmovies.is/film/el-chapo-2.1ry9x
Mie pia naikubali ni vile tu sijaianza bado. Maana nishaisikia sifa zake ni hot.Hatimaye umeikubali bado rafiki yako!
Bado sweeluvOoooh!! Maserati haujaangalia hii kitu?
Hapana hii ipo katika watchlist angu mieSijui but mmekuwa pacha katika watching i remember ulikuwa hupendi series za drug stuffs even GOT
Bora hata mmeni mention nilikuwa siuoni huu uziMaserati
kaka nataka kuanza hii punisher ni nzuri au?I know the man na ni mpenzi wa series za drug lords. Ngoja nijipange, nikimaliza Punisher
Punisher ya kawaida sana! Kwa tuliozoea series kama 24 hrs, PB, Strike back, Iris, Hidden Identity, Last ship n.k, Punisher inaachwa mbali.kaka nataka kuanza hii punisher ni nzuri au?
Usijali kwenye huu uzi wewe na espy ni waandika magazeti wazuri ingawa wewe mvivu kusimulia seriesMie pia naikubali ni vile tu sijaianza bado. Maana nishaisikia sifa zake ni hot.
Bado sweeluv
Hapana hii ipo katika watchlist angu mie
Bora hata mmeni mention nilikuwa siuoni huu uzi
Alafu kuna muda huwa unapotea, kuna siku nimeusaka sikuuona nikahisi umefutwa!!Mie pia naikubali ni vile tu sijaianza bado. Maana nishaisikia sifa zake ni hot.
Bado sweeluv
Hapana hii ipo katika watchlist angu mie
Bora hata mmeni mention nilikuwa siuoni huu uzi
Sitaki kuamini mweeeeh!! Eti waandika magazeti!! Hivi kumbe huwa tunaandika magazeti
Mmmh. Kweli??? Au we na siku yako mnataka kunipoteza kama good behavior??Alafu kuna muda huwa unapotea, kuna siku nimeusaka sikuuona nikahisi umefutwa!!