Hivi hii series inakuja kunoga kuanzia wapi, maana nimeona episode 2 za S01 haijanishika akili kabisa lakini watu wanaisifia sana.
Tuko Season ya 7 episode ya 9 mambo yana zidi kua moto humu.....
Okey, tayari.Fungua basi kikutumie
hahaha jamaa anafurahisha sana maneno yakeNimetokea kumwelea mhuni Rich Dotcom kwenye 1st season ya blindspot. Aisee yule jamaa alivyoimastermind escape yake nlimnyooshea mikono
Hahaha, mbabaishaji sanahahaha jamaa anafurahisha sana maneno yake
Mi pia aiseeMie nimeachana nayo, haina mmsisimko tena..
Punisher iko vizuri kiasi chakeThe Punisher ni hatari
Hatari sana mzee, nimeangalia hii series nimejifunza CIA Agents wapo smart sana.The Punisher ni hatari
Ukimaliza angalia desperate housewifeKwa wapenda story tafuta Devious Maids ni hatari. Nzuri sana ina mauaji ya kutatanisha na visa vya kuchekesha sana ukianza na s1e1 hutatamani iishe
Nlishaiona tayari mkuuUkimaliza angalia desperate housewife
Hatari sana mzee, nimeangalia hii series nimejifunza CIA Agents wapo smart sana.
Hivi CIA huku kwetu kibongo bongo si ndio usalama wa taifa...?
Kwann mase mlifunga pm??Sasa sote tumefunga pm inakuaje?
Tiss(usalama wa taifa) huwa basic job Yao ni kumlinda rais wa JMT pamoja na kuhakikisha wanazuia mambo mabaya kabla hayajatokea(to prevent)vitu vibaya kabla havijatokea..(spy) kuspy vitu viovu..Sio secret service ndio usalama wa taifa ? Sina hakika lakini
Kuna hii DEFENSE INTELIGENCE AGENCY (DIA)Tiss(usalama wa taifa) huwa basic job Yao ni kumlinda rais wa JMT pamoja na kuhakikisha wanazuia mambo mabaya kabla hayajatokea(to prevent)vitu vibaya kabla havijatokea..(spy) kuspy vitu viovu..
Cia,fbi,seals,us marshals nk wenzetu wako na vyombo vingi sanaa vya usalama ambapo vpo ambavyo venyewe vinadeal na uchumi-kuhakikisha maadui hawaugusi na kuushusha kivyovyote...
But cia sio usalama wa taifa....
Usalama wao wa taifa ambao wanamlinda rais wanaitwa secret services as usual
espy hv umemcheki breaking bad???GB season two yote mama.
Wale jamaa ni next level and hapo bado kuna confidential instruments za security unajuaKuna hii DEFENSE INTELIGENCE AGENCY (DIA)
Nayo ni ya kwa trump
wameanza fresh mbele wamezingua ila tusubiri labda itanoga tenaSasa designated survivor soon ntaiweka pending sio ka ilivyokua season 1