evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
Wanarule world market kila nyanja...simchezoDesignated nomaaa sanaaa ....jamaa wanajua aisee daaah ....kweli baada ya Mungu ni mzungu daaah ....ile series sio ya kitoto kabisaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Last ship umeicheki mkuu??Ngoja nizame chimbo nanze fatilia Last ship ..nlipitezeaga kimtindo ...ila kwa moto huu lazimaa niirudiee
Sent using Jamii Forums mobile app
Opp episode ya 5 mkuuSeason 4 imeanza.
Ni Yule Yule Matt Damon ila kasoro Bourne legacy aliekt mwingine jina limentoka kdgHiyo jason Bourne star ni yule yule au mwingine
Ila mkuu series Kali ni Kali tu....ndomaana mauzo huwa yako juuu sana kwasababu ya ukali wake....hata humu nyuma ya vibodi(mitandaoni) huwa muvy Kali iko well discussed....unajua...mimi naona watu tunapishana,,,series tamu kwako haiwez kuwa kwa mwengine,,,,tuanze na mtu anayependa mfano series za action ni hizi,,,,,,,,,,comed,,,,,,,,thriller,,,,,,,,,,,,,,,romance action crime,,,,,,,za kizamani na game of thrones,,,,,,,,, investigation,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,..hapo tutaenda sawa,,,,,,,,,,,,,,
Simchezo hizo mkuu....
Uje uchukue wapi?????Mkuu unafahamu mambo mazuri, hv unazo nije kuchukua?
Mkuu kwani ukiwa na familia huruusiwi kurefresh mind???mnawatesa wazazi wenu jamani! someni shure!
Maseratimnawatesa wazazi wenu jamani! someni shure!
Hahahaa
Yahh kitambo sana....ipo mpka e5
E5 Vp mama umechek?Ndio,yuko episode 04
Yeah alirudi akasepa,season4 e5 karud tenaAf iv katka last ship captain chandler badae alirud kweny US NAVY
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahh we jamaa unanikumbusha mbali..allias 2000 hiyo serie....sirie Kali sanaa yule mdada anamichezo ya ya hatari sana double agent alafu Dickson hajui kitu......na person of interest dahhhhhh hiiii mpka inaisha nltamani kulia yani...ilikuwa Kali sanaa hii seriePERSON OF INTEREST
BANSHEE
ALLIAS
SHOOTER
Hizo zinakutosha mzee ni hatarii sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Shooter nilikata tamaa kuicheki.....nliona inazd kuwa mbaya.....wale tunaoangalia shooter season 2 imeisha kienyeji kweli imebidi nijiulize ni kwa nini!? Kumbe Ryan Phillipe (Bob Lee) aliumia wakati wanashoot episode ya 9, sasa sijui watairudisha mwakani
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani last ship itaishia season5 mwakani?????????auYes,inatoka mwakani.
Check na hii web.....
Ipo season1 tu
Mkuu hii serie sikuielewaga mapema seasons tu nliona miyeyusho....