You tube zinapatikana?Check hiii...
1.Designated survivor
2.24 legacy
3.blindspot
4.shooter
5.zoo
6.Jason Bourne series
7.scorpion
8.queen of the south
9.the last ship
10.salvation
Hutojuta ukizicheki hizo series...
Ni series za kutumia akili nyingi sanaa
Huyo jamaa Michael tangu ajitangaze kuwa ni shoga...Ukitaka msigombane katika mahuiano ni lazima mmoja ajifanye mpumbavu kwaajili ya mwenzake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe bila shaka utakuwa muhenga tuISIDINGO the need
Haha hiii comment umeongea kwa hisia sana..Sio kumtumia. Wanataka kumuondoa as kikwazo. Mbaya zaidi wale watoto bwana ake na zoe wamehack ile ngoma Kule juu wanaharibu mbwa wale hawajui kama ndio wanaangamiza dunia hivo
Mkuu Narcos season 3 tayari? niliipenda sana hii season 1 na 2. Hebu nidokeze japo kidogo maana pablo mwenyewe kashatangulia mbele za hakiNimemaliza kuangalia "Narcos" Season 3. Baada ya kufa Pablo Escobar series haiwezi kuwa sawa na kabla ya kubwa la maadui lenyewe kufarikia.
Kamahujaiangalia itafute Season 1 and 2, inaonyesha maisha ya Colombia na biashara ya madawa ya kulevya enzi za Pablo Escobar.
Check hiii...
1.Designated survivor
2.24 legacy
3.blindspot
4.shooter
5.zoo
6.Jason Bourne series
7.scorpion
8.queen of the south
9.the last ship
10.salvation
Hutojuta ukizicheki hizo series...
Ni series za kutumia akili nyingi sanaa
Hahaha, Season 3 imetoka juzi, itafute uone nisikumalizie uhondo.Mkuu Narcos season 3 tayari? niliipenda sana hii season 1 na 2. Hebu nidokeze japo kidogo maana pablo mwenyewe kashatangulia mbele za haki
Safi sana. Ngoja niisake fastaHahaha, Season 3 imetoka juzi, itafute uone nisikumalizie uhondo.
Series imenifanya mpaka nataka kwenda Colombia kutalii sasa.
Balaa si kitoto dah ChandlerThe last ship aisee ni balaaaaaaaaaaa
Mase last ship ndo 1st choice yako??List angu iko hivi
1. The last ship
2. Designated survivor
3. Scorpion
4. Blindspot
5. Good behaviour
6. Salvation
Weka mbali na watoto hiyo ngomaaaa. Si mchezo aisee,inavyoanza kindezi flani hivi EPs ya kwanza..wacha kabisa kuanza ya 2 na kuendeleaMase last ship ndo 1st choice yako??
Aseee
Captain nilijua huku lazima nikukute tu..List angu iko hivi
1. The last ship
2. Designated survivor
3. Scorpion
4. Blindspot
5. Good behaviour
6. Salvation
evansGREATDeal unaona hatari hiyo...weka mbali na watotoBalaa si kitoto dah Chandler
Acha tuuuuu kwa kweliHaha hiii comment umeongea kwa hisia sana..
KAma kweli dunia itaangamiaa yani
Tupo wote mkuuNaanza kuangalia narcos season 3
Sina haraka nayo hiyo mpaka mzigo ukamilike sasahivi namalizia Narcos S03.Aiseeenatamani uiangalie. Nitazifuga zingine lakini sio The Last Ship