Kweli kabisa,na Harris amejua kama vice president sio mtu mzuriMjomba atakuwa nyuma ya Vice President katika kumhujumu President ndio maana wameondoa kikwazo cha Tanz
Sent using Jamii Forums mobile app
Itabidi na mi nianze kuiangalia hii
Yule mjomba ake ndo itakuwa anahusika na ile project ATLAS ..baada ya ile dangerous mition kufanikiwa, mwisho kabisa kuna maneno alisema. .Imeniuma mjomba ake Tanz alichomfanyia Darius jamani...
Ina maana anataka kumtumia Durius?Mjomba atakuwa nyuma ya Vice President katika kumhujumu President ndio maana wameondoa kikwazo cha Tanz
Sent using Jamii Forums mobile app
Retribution?Yule mjomba ake ndo itakuwa anahusika na ile project ATLAS ..baada ya ile dangerous mition kufanikiwa, mwisho kabisa kuna maneno alisema. .
Halafu imekuwaje professor Kroft hajafa wakati dogo lium alimuua??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kumtumia. Wanataka kumuondoa as kikwazo. Mbaya zaidi wale watoto bwana ake na zoe wamehack ile ngoma Kule juu wanaharibu mbwa wale hawajui kama ndio wanaangamiza dunia hivo
Khaa wale madogo wanafanya kazi kwa niaba ya nan?Sio kumtumia. Wanataka kumuondoa as kikwazo. Mbaya zaidi wale watoto bwana ake na zoe wamehack ile ngoma Kule juu wanaharibu mbwa wale hawajui kama ndio wanaangamiza dunia hivo
Yea something like that ....moja kwa moja inahusiana na iyo project ...daah ngoja nizame chimbo niipakueee ....Retribution?
Professor anadai madaktar wa Russia ndio walio muokoa.
Sjajua maana Tanz alivoenda Ku make deal nao wazime umeme Russia wakasema boss kakubali ili wamfuatilie Tanz mambo Yake,ndio hao waliohack chuma Kule juu
In the game of thrones its either you win or you die,there is no middle ground.Ukweli ni kwamba G.O.T ndiyo inayoongoza hata ndio maana mpaka watu wametengeneza fanbase katika mitandao ya kijamii hata merchandise zake kama nguo na vitu vingine zinauza sana online, watu wameiga kuita majina mpaka ya watoto wao kutoka GOT mfano jina kama Arya limetokea sana miongoni mwa majina mapya ya watoto hata lugha ya dhoraki imeibua maneno mapya
Empire haijaizidi GoT but ndio series inayoongoza kuongeza watazamaji katika kila episode mpya, yenyewe imeongoza viewers katika miongoni mwa show zinazorushwa na kituo cha tv cha FOX
FOX ni kituo kikubwa sana ndio maana hata 50 cent alicriticise kwamba wanaipromote sana EMPIRE tofauti na ilivyo ili kuiua na kuizidi show yake ya POWER (2014) inayorushwa kwenye kituo cha STARZ
Pia ukiangalia hata report ya IMDb site the most rated tv show of 2015 ambayo imeandaliwa kuanzia September 2014 to May 2015 ambapo GOT ilikuwa bado haijaisha so haikujumuishwa inaonyesha EMPIRE ni ya 18
Game of throne inaongelewa sana kaka mfano tukio lile la Red Wedding ambayo RObb Stark na Mama yake walilouliwa liliongelewa sana kwenye tweeter mpaka likavunja rekodi ya siku hiyo na kwenye mitandao mingine ya kijamii
Dah! Nmekuwa mzito kweli kucheki mavitu kutokana na majukumu ...imefika episod ya ngp now?Sjajua maana Tanz alivoenda Ku make deal nao wazime umeme Russia wakasema boss kakubali ili wamfuatilie Tanz mambo Yake,ndio hao waliohack chuma Kule juu
Ya kumi tayari,tunasubiri ya 11Dah! Nmekuwa mzito kweli kucheki mavitu kutokana na majukumu ...imefika episod ya ngp now?
Nin kinaendelea Mase. ..
Sent using Jamii Forums mobile app
SaaaanaaaLast ship inanoga tu