Mkuu si wanafupisha, yaani ulitaka waoneshe kila tukio!?Shooter bwana ni nzuri ila naona inakosa ka kitu........ Connectivity ya matukio na kauhalisia flani... Mara vuvuvuuuuuu Memphis huyu hapa Mara daaah unangalia muvi mpaka unaona kabisa haya maigizo kama bongo movie... Story nzuri imekosa director mzuri
Hii ni zero aisee bora hata wale matapeli wa the catch nilienjoy zaidBaasi siicheck
Yeah ni kweli ila naikubali...ila next time labda watajirekebishaShooter bwana ni nzuri ila naona inakosa ka kitu........ Connectivity ya matukio na kauhalisia flani... Mara vuvuvuuuuuu Memphis huyu hapa Mara daaah unangalia muvi mpaka unaona kabisa haya maigizo kama bongo movie... Story nzuri imekosa director mzuri
Kweli kabisa mkuuIla ndo marafiki zetu ambao tuko nao kila siku mkuu...part of life tu
Nimecheki trailer ya The Mist inazo hizo mambo... Labda kama ni mbeleniHiyo ni The Strain ndo ina mazombi hayo.
Hiyo ni The StrainThe Mist si ndio ina mijamaaa ulimi kama ya nyoka nyoka flani..... Nimecheki episode moja...
hii sio ya kuacha mkuu tunasubiri season 2Kuna mtu ameiona designated survivor?????
the catch safy sanaHii ni zero aisee bora hata wale matapeli wa the catch nilienjoy zaid
Jamani jamani yaani unanishauri niangalie mazombie kabisaaaa!!!! Siwezi kwakweli.Iangalia wati wanavyofight kwa ajil ya uhai wao,wanasavaiv sana aisee utaipenda mbele kuanzia season za mbele mbele
The walking dead nmeipenda sana hapa nasubiri iende ende kdgo nipakua kwa wing,siwez acha kuipakua series ambay nimetoka nayozaman mpk leo,naielewa sanaJamani jamani yaani unanishauri niangalie mazombie kabisaaaa!!!! Siwezi kwakweli.
Mdogo wangu hayo madude siwezi nsijeota vitu vya ajabu.The walking dead
Fear the walking dead
The strain
The Mist
Jaribu kuangalia my sister.
Vipi The original
Duuuh!!! We angalia tu. Jina tu lantisha jamani.The walking dead nmeipenda sana hapa nasubiri iende ende kdgo nipakua kwa wing,siwez acha kuipakua series ambay nimetoka nayozaman mpk leo,naielewa sana
Basi ni nzuri sana, hapo zote nimeziangalia nyingine bado naendelea kuzitazamaMdogo wangu hayo madude siwezi nsijeota vitu vya ajabu.
We enjoy tu baba, mie yalishanishinda madude ya hivyo.Basi ni nzuri sana, hapo zote nimeziangalia nyingine bado naendelea kuzitazama
Asante dada. Pole sanaWe enjoy tu baba, mie yalishanishinda madude ya hivyo.
Ndio sababu unakosa vitu vizuri
Kweli hayo madude i vitu vizuri!! Haya bwana.Ndio sababu unakosa vitu vizuri
Hahahaha.Kweli hayo madude i vitu vizuri!! Haya bwana.