Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
anhaa sawa mkuumimi sijawahi kutana nayo hata siku moja. Muvi zote huwa nadownload kutoka thepiratebay na siku zote sijawahi ombwa password. jamaa hawa wana movies zote, na kila siku zinaingia mpya,
Ngoja nizitafute
Extra Torent; anyway kuna episode nilikuwa nimeziruka. all ok nowUnatumia app gani ambayo huwezi kucheck season ina EPs ngapi?
Mkuu kma umeingiaa juz juz hikubali mkuu me natumia kisskass lakin ukimalizaa ku download movie kwenye torrent huwezi uka play hyo movie mkuu.Mkuu kama una utorrent wewe ingia kickass.com pakua torrents kisha shusha mzigo.Mi huwa nafanya hivyo mara nyingi tu
Tupo wengi,aisee sijawahi kukoma Yaani. Hayo mazombie enzi za vampire diaries kabla sijaipiga chini,duh!!!usiku unashtuka vamp linakukimbiza ndotoniYaani acha tu!! Na ndio style yake ya kuziangalia, na anazipenda balaa. Ila sasa mjiandae kupigiwa kelele usiku akiota hayo mazombie yake. Na hakomi kuziangalia.
The magician nzuri??
Unajua uzuri wa kitu hulinganan na mtu mwenyewe.... Kwa mm naona ni nzuri kiasi inahusu mambo ya mazingaombwe....The magician nzuri??
Inahusu nini please?
Mmmh. Basi sawaUnajua uzuri wa kitu hulinganan na mtu mwenyewe.... Kwa mm naona ni nzuri kiasi inahusu mambo ya mazingaombwe....
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia extratorrent.agMkuu kma umeingiaa juz juz hikubali mkuu me natumia kisskass lakin ukimalizaa ku download movie kwenye torrent huwezi uka play hyo movie mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
El chapo mbona nimetafuta sijaionaNew and Old series, Kama unazikata nicheck PM faster.
Kikorea:
View attachment 549972
Kizungu:
View attachment 549973 View attachment 549974
Inajisave mkuu nenda ktk setting ya Terrarium click option ya download itakupa file unalodownload na destination yake..mf mm nalipata ktk folder la My files then Download alaf nakuta ma file yote niliyodownloadWakuu kwanin niki download series hasa kupitia terrarium huwa haijisave kwenye simu? Maana natumia sim ..sasa kwa wanaotumia hii app naomben mnisaidie. Nime uninstall na ku install upya lakin bado iko vile vile.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ina jisave kule kule kweny downloads za terurrium tu. Lakin kune my file kpengele cha downloads inakuwa kama file lakin haioneshi kitu.Inajisave mkuu nenda ktk setting ya Terrarium click option ya download itakupa file unalodownload na destination yake..mf mm nalipata ktk folder la My files then Download alaf nakuta ma file yote niliyodownload
Sent using Jamii Forums mobile app
"Its easy for people to believe when someone succeed but it's not easy for people to believe when someone fail"My name is Thomass Chandler, Commander, United States Navy Serial number 4242022634
Na mnayaweza, mie ni big NO.Tupo wengi,aisee sijawahi kukoma Yaani. Hayo mazombie enzi za vampire diaries kabla sijaipiga chini,duh!!!usiku unashtuka vamp linakukimbiza ndotoni
Hiyo magician sio ya kichawi chawi? Maana mie za hivyo hapana kwakweli.
UnaogooopaaaNa mnayaweza, mie ni big NO.