Series (Special thread)

1.GOT
2.WestWorld
3.Taboo
Mtu mwenye kucheki hizi ni Master haswa.
 
Haitokaa itokee, usi force unachokielewa wewe na mwingine akielewe. That's why wazungu wakaweka different genre, unadhani hawakujua kama zitatofautiana ladha??
Ndio hapo sasa,alafu GOT inapendwa na wanaume zaidi, sijui kwanini. Mie yaani walaaaa hata hainivutii!!
 
Ndio hapo sasa,alafu GOT inapendwa na wanaume zaidi, sijui kwanini. Mie yaani walaaaa hata hainivutii!!
Umeona hilo eeh. Yaani wanaume wanaipenda kweli. Halafu usipoipenda sasa wanavokuona wa ajabu.
Kwani genre ni moja tu jamani,kila mtu na favour yake.
 
Umeona hilo eeh. Yaani wanaume wanaipenda kweli. Halafu usipoipenda sasa wanavokuona wa ajabu.
Kwani genre ni moja tu jamani,kila mtu na favour yake.
Hii ni ile mtu anamsifia mtu wakeee alafu wewe huzioni hizo sifa kabisa, acha tu waipende ila mimi kwakweli hapana jamani.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…