Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,280
- 33,588
Queen of the south ni bonge la movie!ilipofikia ni balaaAaah niliachana nayo maana niliona inanichosha tu, kama ambavyo the queen of the south nayo nimeiacha.
Queen of the south ni bonge la movie!ilipofikia ni balaaAaah niliachana nayo maana niliona inanichosha tu, kama ambavyo the queen of the south nayo nimeiacha.
Kwakweli nimeiachia hapo hapo ilipofikia.Queen of the south ni bonge la movie!ilipofikia ni balaa
S2 ep6 sio?Kwakweli nimeiachia hapo hapo ilipofikia.
Niliangalia episode mbili ikanishinda....Kuna alieangalia house of cards kabla sijatumia bundle lang kusiko kua na maana
Usipoipenda wewe na mie aqkhuuuHebu ijaribu labda utaipenda. Mie niliiacha.



Mimi nilimeipenda..Vipi ni nzuri hiyo?
Kabisa mkuu ndo series pekee ambayo siwezi itizama bila subtitleHii ulipaswa utazame na mtu kama mimi nikuassist kila hatua
GOT ni Best of Best wewe mama usinitie aibu
Love angalia The MistNiliiangalia na mtu na bado sikushawishika mkwe!! Labda wewe utanishawishi.
Ndio.S2 ep6 sio?
Hahahaaaaa!!! Umenifanya nimecheka kweli mama.Usipoipenda wewe na mie aqkhuuu![]()
Oooh ngoja nitaisaka.Mimi nilimeipenda..
Sci-fi genre
Ndio.. Maana naona tunasail in the same boat...Hahahaaaaa!!! Umenifanya nimecheka kweli mama.
Haina mizuka yetu tunayoipenda mama, hata usihangaike nayo.Ndio.. Maana naona tunasail in the same boat...
Asee kuanzia season tu ndo utaona uzur wake,ni moja ya series ambayo siwez acha angalia hata nikiwa mgonjwa,hapa naisubiri kwa ham balaaNilitaka kuianza, kumbe mizinguo??
Inawezakuwa top on chat lakini sina mashiko nazo, mfano GOT, the flash ziko kwenye top chat lakini sizipendiiiiiMpitie na huku mjue Top Tv Series sio mnapata shida kujua ipi nzuri au mbaya.![]()
Time after time wamei cancel??Wameisitisha na yenyewe,unajua ukiangalia time after time unaona kabsa ina endana flan na 12 monkey,,,ya akina mr traveller
Mbon kitambo tuTime after time wamei cancel??
Lakini. Nilidhani hivo maana rate nilikuwa chini.