Leloo June
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 1,012
- 945
Mimi pia wanakula time yako sana.Kiukweli binafc mi si shabiki wa Series kwani shida inakuja unakua slave wa hio Series..haiwezi kukupita utadhani Ibada bwana.
Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
Mwisho wa picha t-bag alirudi jela. Na Mara zote t-bag alikuwa analalama kuwa Michael mara zote anamuacha ktk mazingira mabovu kuanzia kule panama alipompachika kisu akaja kushikwa wakakutana sona na sona yenyewe alimzidi akili akamuacha ata baadae wakati wanaitafuta SycllaMichael failed to get rid of t-bag, kila alichofanya mwisho wa siku t-bag aliibuka from no where!
Umesahau aliposepa na hela akawaachia begi la vitabu?
Michael is a genius, so is t-bag!
- KANA -
shida ni qualityMi inafungua vizuri. Unataka kunambia zile sever A na B hazifunguki??
Hata hivo nishahama huko kote, nazitumia kuchek updates tu niko Tvserieswap huku mx player ikinisafisha kiroho kwa subtitles.
Basi mororo
Walking dead ndio kiboko bhanaaCjaona kabsa mkiongelea fear the walking dead akati nayo ni bonge la series
Hata the event aiseeeNa kweli huko mbele ndio, wanatuchefua na maduala yao ya rates.
Ziliniuma series 2 tu.
The Messengers.
The Tomorrow people.
Niliumia jamaniiiii walivyo zi cancel.
shida ni quality
Sure, walking dead nzuri ila hiyo fear of walking dead. Ptuuuu siiitakiWalking dead ndio kiboko bhanaa
Ransom, shooter??Ni kali,upelelez je upo?
Hakuna series mbovu kama shooter,asee ni sawa ni Six za kipuuz sana zileRansom, shooter??
Kuna jitu basi limeisifia hapa nikasema nikuandikie. Pumbav zakeHakuna series mbovu kama shooter,asee ni sawa ni Six za kipuuz sana zile
Huku ni series, tafuta kuna uzi wa movieJaman ntajieni movie kali ya kuangalia wakuu
usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
Inasemekana itarudi kivingine kabisa wahusika tofauti.Waungwana naomba kuuliza je, series ya STRIKE BACK hawajaendea tena coz nakumbuka hapa ninayo SEASON 5
Hawaii Five ndo yenye mambo ya kijasusi ila kila episode tukio lake muendelezo kidogo sana.ipi kali hapa kwa alieangalia niipakue yenye mambo ya kijasus na visas bila kusahau huckers.?