Mi Series ambazo kila episode tukio lake sipendagi kabisa niliishia season 1 tu scorpion tena kwa kulazimishaScorpion ni team geniuses wako wa4 lakini wanakutana na watu wa kawaida ambayo mdada mmoja Paige mwanae ni genius so wanamsaidia peige amwelewe mwanae,then Paige anawasaidia wao wawaelewe watu wa kawaida na watu wawaelewe Hapo genius.pia yupo wa kawaida mwingine Cabe ambae ni FBI agent,anawasaidia kwenye mission hatari kwa usalama wao. Hapo geniuses kuna machenics,behaviourist,human calculator na mkuu wao alieact as Walter mwenyewe Ndio ana IQ kuwazidi wengine. based on life of Walter O'Brien ambae ilikuwa na IQ Kubwa sana ya kutatua mambo mbalimbali na kusaidia jamii nzima. Ni nzuri sana espy mie inanitia uchizi kwa kweli.
Kitu gani kimekuchefua mwenzanguM niliichek nikaanza kuipenda na kuisifia Huku juu. Lakini mmmh. Hapana,imenichefua nafsi. Mbayaa
Ayahaaa!! Ushaharibu aisee na kwahiyo nimeshindwa kumalizia kusoma ulichoandika nisije nikafahamu details zote!!!Kwa tunao iangalia tupo kwenye kihoro acha tuuuu.
Sijui ile risasi katandikwa michael ama vipi, huku nje napo kaka yake kamiminiwa risasi za kutosha...
Jumanne huwa naionaa mbaliiii.
American godsKitu gani kimekuchefua mwenzangu
Pole. Unakosa uhondoMi Series ambazo kila episode tukio lake sipendagi kabisa niliishia season 1 tu scorpion tena kwa kulazimisha
Upo kama mm ila uzur kwa scorpion kutokana na maudhui yake ilikua haina jins zaid ya kuonyesha ujuz ktk sekta mbalimbali wanazokutana nazoMi Series ambazo kila episode tukio lake sipendagi kabisa niliishia season 1 tu scorpion tena kwa kulazimisha
Hahahaaaaaa mkuu unazinguaaAyahaaa!! Ushaharibu aisee na kwahiyo nimeshindwa kumalizia kusoma ulichoandika nisije nikafahamu details zote!!!
Boob, pale! T bug na mwanaye washafika kwenye tukio ndio watasave mchongo pale.Kwa tunao iangalia tupo kwenye kihoro acha tuuuu.
Sijui ile risasi katandikwa michael ama vipi, huku nje napo kaka yake kamiminiwa risasi za kutosha...
Jumanne huwa naionaa mbaliiii.
Haswa mi nimedelete kabisa sipendag ujinga mmM niliichek nikaanza kuipenda na kuisifia Huku juu. Lakini mmmh. Hapana,imenichefua nafsi. Mbayaa
Leo bwana mida ya saa saba hivi terrarium TV wakani popup kuwa prison break episode ya 09 imetoka kwanza nikashangaa saa hizi wakati huwa inatoka usiku, nikaipakuwa kwa pupa dadakii kumbe ni episode ya 08 aaaaaghaaaa.Boob, pale! T bug na mwanaye washafika kwenye tukio ndio watasave mchongo pale.
Mkuu si kweli, hata mimi nilisikitika sana walivyomtoa John Porter, lakin Sgt Scott alifit vizuri sana mkuu.
Nimeicheki nimemaliza season one, kumbe ni nzuri sana aisee!!Pole. Unakosa uhondo
Kumbe tupo wengi ilotuchefua.M niliichek nikaanza kuipenda na kuisifia Huku juu. Lakini mmmh. Hapana,imenichefua nafsi. Mbayaa
Baaab bullet yako imekosaaa mchongo haukuwa hivyo.Boob, pale! T bug na mwanaye washafika kwenye tukio ndio watasave mchongo pale.
Baaab bullet yako imekosaaa mchongo haukuwa hivyo.
Na Scofield ni mwisho aiseee.
Baaab bullet yako imekosaaa mchongo haukuwa hivyo.
Na Scofield ni mwisho aiseee.
Aiseee sikutegemea ingeni disappoint kias kileKumbe tupo wengi ilotuchefua.