Series (Special thread)

wakuu nimeangalia series kama the last ship na prison break nimependa sana jinsi akili zilivyotumika mule je ningependa kujua ni series gan nyingine ina mission za kutumia akili kama izo
Shooter
 
Msaada kupata TV show Del cuerpo del deseo, maarufu kama the second chance. Natanguliza shukrani.
 
Nipe mwongozo mkuu nimeingia huko naona maluelue tu
Maruweruwe gan mkuu,,maana ukishaipakua ile app ukiifungua tu zinakuja tv series kibao,,au ukitaka unaandika juu pale mf Prison break zinakuja season one mpka five,,unaangalia unataka kuipakua ipi,,then km ni season 5 unaifungua inakujia episod gan unataka then unaiclik hyo zitakuja ukubwa tofaut tofau utaangakia uwezo wa mb zak

Mfano inaweza kuja hiv pcha ya kwanza ukimaliza hii unakuja hapa then baadae ukifungua huo mshale hapo chini itakuja hiv then kwenye display yako kutakua na maandish haya ukimaliza unabinyeza size unayotaka nadhan ukishindwa tena unaweza kua kilaza
(natania)
 
Chilax take easy
 


...Wakuu nimeona sehemu nani mkali zaidi..
Kwangu Mimi wote wakali Ila SHONDA zaidi!
 
Acheni kumkomalia Dada wa watu,kama haangalii si yeye muacheni na kama tunaangalia ni sisi atuache. Hakuna haja ya kutoka ufahamu,as a matter of fact hakumtaja mtu wenyewe mmejisikia kum quote. Ila relato we kiboko,sio kwa vichambo hivyo aiseee. Haya tuachie prison yetu sasa,Sawa kadadaaa?
 
Msaada kupata TV show Del cuerpo del deseo, maarufu kama the second chance. Natanguliza shukrani.
Mkuu hebu jaribu ku google waweza pata dawnload link, maana nimechek kwenye app ya terrarium, ipo lakini haina data.
 
Mkuu nashukuru sana nimefanikiwa
 
Kuna moja nimeanza kuiangalia recently inaitwa "Designated Survivor". Hii naona inaenda kuzipiku hizo hapo juu.
Hii nasubiri ikamilike niiangalie yote. At the moment naangalia American Odyssey, ni nzuri pia, mambo ya conspiracies.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…