Series (Special thread)

Kuna kilindi ilkuwa inaonyeshwa tv1.. Namkubali zaidi uncle na kenan
 
Daah umeielewa kinomaa.
 
Halafu ni kwanin Sara na bro wanatafutwa ili wauwawe??
 
Ddaaaah ata me nmejiuliza sana kuhusu T bag. ..labda me nkahisi yule dokta anafanya project yake ndo aka amua kujaribu kwa mchiz. Ila kitu kinaendelea. Mbaya zaid maiko alizikwa kabisa but kwenye kaburi ni nguo tu ...daaah wameanza vizuri sana ...wametishaaa
 
Hz app Mimi nikidownload hazifanyi kazi ipasavyo mf nimeinstall app ya IDMDB series kucheki ni kwa kununua na app ya tubetv series sizipati hebu welevu nisaidieni
 
Queen of the south
Quantico
Shooter
Black orphan

Zimetoka mpaka season ngap?
 
Mkuu hiyo banshee si zilipendwa pia mana imeshaisha

Sasa hivi mwendo wa NARCOS Season 2
Narcos iko poa sana mkuu

NARCOS (2 SEASON 20 EPISODES)
SHOOTER (2 SEASON 20EPISODES)
LEGENDS (2 SEASON 20 EPISODES)
LUKE CAGE (SINGLE SEASON 13 EPISODES)
SIX (SINGLE SEASON 8 EPISODES)
24 LEGACY

ZITAFUTE UKIPATA NAFASI
 
Narcos iko poa sana mkuu

NARCOS (2 SEASON 20 EPISODES)
SHOOTER (2 SEASON 20EPISODES)
LEGENDS (2 SEASON 20 EPISODES)
LUKE CAGE (SINGLE SEASON 13 EPISODES)
SIX (SINGLE SEASON 8 EPISODES)
24 LEGACY

ZITAFUTE UKIPATA NAFASI
Mie niko selective sana mkuu, movies zenye CGI nyingi sipendi, napendaga sana almost reality.....sasa hivi nafatilia DESIGNATED SURVIVOR
 
Unaweza kudownload zote hizo kwenye o2series ni rahis
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…