Series (Special thread)

Kuna msichana anajiua. Then baadae mwanafunzi mwenzie anapokea tapes zinazoelezea watu waliopelekea yeye kujinyonga na sababu 13 za yeye kujinyonga. Seems a pretty mystery
Owk,nmekupata,,kama haina mambo ya kipelelez na tecnology na visas kiukwel sitaipenda,,,napenda series zenye mlengo huo
 
Mambo yote ni Blacklist na Designated Survivor
Zote naziangalia japo blacklist kuanzia season 2 mwishon ndio ilinoga haswa... Jarbu kupoteza muda kwa kuangalia time after time hutajutia bando lako
 
Mkuu naomba nitajie app ya kuangalia hizi kwa simu
 
Toxicwap,o2tvseries,tvshow4mobile na app ya terrarium TV plus show box app. Zote hizo zipo Google searcg
Mkuu nimejaribu kuingia hiyo toxic na o2 zinaniletea vitu vya magame na pon kwa lazima hazinifikishi kuopt seriz nayotaka
 
Toxicwap,o2tvseries,tvshow4mobile na app ya terrarium TV plus show box app. Zote hizo zipo Google searcg
Kama mtu amezidowload naomba tutafutane ili hata kwa kuniuzia nizipate hizo series lakini awe na episode Nyingi nyingi
 
Haswa haswa 100 kuanzia seoson 2, heroes rebon zote, revolution zote, designated survivor zote, tomorrow pple,Jericho na zingine
 
Kwa anaetaka app ya kupakua series nk rudi comments zanyuma pole pole utakuta link zilishawekwa.
 
Kuna mtu ameshaangalia Hawaii Five -0 plz anisaidie kama nikali niipakue
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…