Private-eye
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,211
Subutu yako....24 legacy imepoa ukilinganisha na original 24. Yaan imepoa hata ile anavotamka events occur in real time....sentence imepoa. Saut pia ni ya kigentleman sana. Japo naifatilia lakin kwangu bado ni nyota 1 kwa 5 kama nikilinganisha na amshaamsha ya jack bour!Kuna kichupa h atariii kiko hewAni ndio kwanza episode ya 3 kinaitwa 24.Legacy Wazeee ile 24HRS haingii ndanii
Tafuta the blacklist redemptionThe blacklist
Hata 24 ya Jack season ya kwanza hasa zile episode za mwanzo mwanzo za kjmwokoa mke wake n mwanae hazikua kali sana Ila ilinoga zaid kuanzia season 2,,hii legacy imeanza vzr sana natumaini mbele itakua balsa zaid,wazungu hawajazoea sana kutuangusha kwenye story za series zao... Ila yte kwa yte bado zipo vzrSubutu yako....24 legacy imepoa ukilinganisha na original 24. Yaan imepoa hata ile anavotamka events occur in real time....sentence imepoa. Saut pia ni ya kigentleman sana. Japo naifatilia lakin kwangu bado ni nyota 1 kwa 5 kama nikilinganisha na amshaamsha ya jack bour!
Season paka 3ina season ngap au episode ngap
Tyrant me ninayo hadi season 3kuna kitu tyrant...aisee tamu ila ndo episode zinazofata hazipatikan mwenye nazo tujuzane hapa
Empire ni kwikwi .....Kaa chini tulia tafuta kitu kianaitwa "Empire" hii ni guarantee...Lakini kama unapenda complex series unaweza watch Ray Donovan, Fargo na House of Cards..Series za kawaida unaweza cheki Revolution, Tyrant, Crisis, Scandal, Arrows etc etc
Seeds ndo nn?? Ila blacklist huyu jamaa nampenda anajiamin sana kwa kwel mpka raha,,hakuna gumu kwake kwel huyu ndio ananifanya niipende hii kituKwann movie au episode ikiwa na ile wanaita seedes weng Ina download fasta?
Aisee Google maana naweza eleza tofautiSeeds ndo nn?? Ila blacklist huyu jamaa nampenda anajiamin sana kwa kwel mpka raha,,hakuna gumu kwake kwel huyu ndio ananifanya niipende hii kitu
Hongera Kwa kuangalia Nikita,,,Wakuu ndio kwanza nimeanza kutizama aina hii ya movies, si mchezo nimenogewa lakini mpaka sasa nimetazama Nikita, Athena na prisonbreak naomba kwa wadau mnitajie series nyingine kali za kijasusi niweze kuzinunua.
Hivi kwann ilifungiwa?Revolution ilifungiwa imeishia season ya pili,ila Arrow ni poa aisee
Aisee nmeanza kuifatilia sijajua Kama hii technology tayari inatumika hapo state au hii series ndo italeta mapinduzi ya kutumia hii technologia na hiyo app yao ya APBNa ukitaka kuona kitu cha hatar chenye technology ya hali ya juu anza kufuatilia APB balaa kabsa
Hatar kabsa hii kitu,,labda huko mbele itanoga zaidAisee nmeanza kuifatilia sijajua Kama hii technology tayari inatumika hapo state au hii series ndo italeta mapinduzi ya kutumia hii technologia na hiyo app yao ya APB