Basi usiongee sana usije ukanifanya nianze kuiangalia sasa manake unanitamanisha! Hayo mambo ya kusubiria hadi J4 ndo huwaga siyatakagi manake unaposubiria series iliyoku-touch, wiki moja inakuwa kama mwezi mmoja!!Kaka mishe za Eric carter si mchezo kaka. Hpa jumanne naona kama mwakani. Ingawa unasema umeona itakuwa plot driven but nahisi ni character driven coz kuanza tu mtu unakua anxious kuona dogo atafanya nn next. Imagine dogo anateka central police![]()
Sasa mbona hukunistua mapema?Mkuu ulichelewa wap nilikula primiere kabisa.... Ni moto wa kuotea mbali na techno ya sasa imekuwa bora kabisa... Jne E01 itakuwa hewan.
Bahati nzuri kuna vitu vingi vya kuangalia kama suits,HTGAWM,TBBT, n.kBasi usiongee sana usije ukanifanya nianze kuiangalia sasa manake unanitamanisha! Hayo mambo ya kusubiria hadi J4 ndo huwaga siyatakagi manake unaposubiria series iliyoku-touch, wiki moja inakuwa kama mwezi mmoja!!
Tatizo sjawah tembelea hili jukwaa muda sanaSasa mbona hukunistua mapema?
Series gan hyo wakuuTatizo sjawah tembelea hili jukwaa muda sana
Terrerium tvMSAADA WADAU:- Websites gani au Application gani nzuri kwa ajili ya kudownlod movie au tv series...
Ooooh!! Basi usiwe unaacha kunistua mambo mazuri kama haya yanapokuja.Tatizo sjawah tembelea hili jukwaa muda sana
Usjali bibie kaa teyar kwa:Ooooh!! Basi usiwe unaacha kunistua mambo mazuri kama haya yanapokuja.
Suits ni my favorites na sijawahi kui-miss tangu iingie hewani! Ingawaje nishapata kuangalia legal drama zingine lakini Suits habari nyingine!Bahati nzuri kuna vitu vingi vya kuangalia kama suits,HTGAWM,TBBT, n.k
Mkuu mwendelezo wa into the badlands ishatoka?Will do Mkuu.
Uwiiii.... Into the badland walitukatili sanaaUsjali bibie kaa teyar kwa:
>Taken S01E01...28/2
>Designated survior S01E11.. 9/3
>Into the badland S02E01...20/3
>Prisoner break S05E01...5/4
24 haijawai kunivutia.sijui hiyo 24 legacy labda!!!!24 Legacy
Basi hata hii usiangalie, nadhani haitakuvutia pia..but it is superb24 haijawai kunivutia.sijui hiyo 24 legacy labda!!!!
Kwa wanaoipenda naona wanaisifia sanaBasi hata hii usiangalie, nadhani haitakuvutia pia..but it is superb
Nahis wamepanga mambo mazuri zaid na wanataka iwe ndefu siyo fupi kama iliopita..Uwiiii.... Into the badland walitukatili sanaa