Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wazee mnatumia njia gani kushusha mzigo? Mimi nilikuwa natumia mediaget na express Files lkn ck hizi zinagoma
 
mkuu chige now naelewa maana yako kuwa "character" anatengenezwa na writter wa movie.... kweli waandishi wa 24 ni next level na wameniprove wrong aiseee..... 24 bila jack naona imeanza kuwezekana kabisa... this season will be lit
Nilikuwa nasita kuicheki ila kwa hii comment yako basi umenipa hamasa ya kuitafuta.
 
Nilikuwa nasita kuicheki ila kwa hii comment yako basi umenipa hamasa ya kuitafuta.
Mkuu ulichelewa wap nilikula primiere kabisa.... Ni moto wa kuotea mbali na techno ya sasa imekuwa bora kabisa... Jne E01 itakuwa hewan.
 
24 babuuu ilikua Nouma,jack mbishi mbishi kwel kwel sio kwa oda ya rais au nan akihisi anafanya na matokeo tunayaona,,,kiukwel shooter mi naona ni moja ya series ambayo siwez tena kuifuatilia na nimeifutilia mbali kabsa,,,designated survivor imeanza vizr na story inaeleweka japo haina matukio sana lakin naiman mbelen itakua poa zaid na zaid,jack bour hajawah kuniangusha na kwa hii hatatuangusha...
Shooter ushuzi mkuu
 
For sure sijawah ielewa 24 yenyew lakn hii legacy naomba niamn ni kali hatar naiweka level za kina shooter na designated
Level za shooter na designated survivor??? Huko ni kuikosea adabu 24.
 
Binafsi sijaiangalia na kwa sasa sitaki kuiangalia... nasubiri mzigo mzima ili ni-enjoy vizuri!!! Na kama ambavyo nilisema, sikuwa na wasi wasi kabisa kwamba bado itakuwa mzuri baada ya kuangalia production team, husani waandishi na director.

Hofu yangu ilikuwa moja! Kwenye movie/series kuna Character Driven story na Plot Driven (aka High Concept)! Ile ya Jack Bauer ni Character Driven na movie ambayo ni Character Driven, Character anaonekana sana kwa sababu yeye ndo chanzo cha matukio!! Lakini ingawaje Character ndo chanzo cha matukio, still hayo matukio yanatengenezwa na Mwandishi!

Kwenye Plot Driven, unaweza Character usimuone sana. Sasa nilisoma mahali kwamba Legacy ingekuwa Plot Driven. Lakini kwa kawaida, Plot Driven zinakuwaga tamu sana...
Kaka mishe za Eric carter si mchezo kaka. Hpa jumanne naona kama mwakani. Ingawa unasema umeona itakuwa plot driven but nahisi ni character driven coz kuanza tu mtu unakua anxious kuona dogo atafanya nn next. Imagine dogo anateka central police
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom