Series (Special thread)

Series (Special thread)

Suits ni my favorites na sijawahi kui-miss tangu iingie hewani! Ingawaje nishapata kuangalia legal drama zingine lakini Suits habari nyingine!

Hizo zingine, nimeshindwa kukuelewa!
HWTGAWM-How to get away with muder
TBBT-The big bang theory
HIMYM-How I met your Mother
VD-vampire diaries
GOT-Game of thrones..
e.t.c
Pamoja sana hapo kwene Suits.. tunawaona mafeki lawyers
 
1. 24
2. The Americans
3. Homeland
4. Traveler (Haikuendelezwa)
5. Madam Secretary (Haikuendelezwa)
6. OC (Orange County)
7. Alias
8. Get Smart
9. Covert Affairs
10. Scandal
Hiyo ndiyo kumi bora zangu za tv series.
Hapo ungemalizia na the event kbs
 
1. 24
2. The Americans
3. Homeland
4. Traveler (Haikuendelezwa)
5. Madam Secretary (Haikuendelezwa)
6. OC (Orange County)
7. Alias
8. Get Smart
9. Covert Affairs
10. Scandal
Hiyo ndiyo kumi bora zangu za tv series.
Mkuu salute kama unaijua Alias wengi hawaifahamu... Umenikumbusha harakati za bint sydney... C.I.A double agent
 
Sita Kali 2017
1. Blindspot
2. Designed survivor
3. Lethal weapon
4. Shooter
5. 24 Legacy
6. Queen of the south
 
Basi usiongee sana usije ukanifanya nianze kuiangalia sasa manake unanitamanisha! Hayo mambo ya kusubiria hadi J4 ndo huwaga siyatakagi manake unaposubiria series iliyoku-touch, wiki moja inakuwa kama mwezi mmoja!!
Mkuu unazungumzia series gani hapa ya mtu kuteka kituo cha police??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom