Yaani nishajaribu sanaaa kipindi ambacho nakuwa sina cha kuangalia nikisubiri my favourites ziendelee lkn najikuta nasinzia tu au najikuta niko busy na kitu kingine na kuachana na movie.
Shoter INA story nzur Ila naona kama wamecheza kishamba,,hata sound track ni mamidundo ya ajab ajab,yaaan kuna kitu kina miss kwenye ile series.. Angalia designated survivor ilivyokaaa utamu,story tamu,soundtrack znaeleweka,hata wachezaji wanajua nn wanafanya.