Series (Special thread)

Kama una roho nyepesi huwezi angalia Vikings.hiyo season 4 ep18 ukatili mtupu
Mkuu ili maandiko yatimie history inasema hivyo VIKINGS walikuwa ni makatili sana... Ivar The Boneless KATILI viking kuwahi kutokea... Bjorn The Ironside... Alikuwa ni KATILI mtulivu.... Jaribu ku Google hata mtungaji alilalamikiwa kwa nini amemuua Ragnar... Akasema main character ni Ivar the Boneless.... Na kuhusu ukatili.. Nahisi unasemea hii adhabu ya kutanua mbavu wenyewe vikings wanajua "DRAGON WINGS"...! Ragnar alishawahi kumtia adhabu season 1 jamaa alitaka kumpindua.... Kwa dunia ya sasa vikings waliishi SCANDNAVIA... SWEDEN, NORWAY NA DENMARK....
 

Attachments

  • download (2).jpg
    13.5 KB · Views: 56
  • images.jpg
    5.3 KB · Views: 56
Ya season ya kwanza niliona aisee ila hii ya sasa imekaa vibaya.kufa ragnar naona kama itapoa sana.mana nilikua napenda mbwembwe za ragnar pemben fluki cheko lake kama la nyani
 
Since nimesikia Ragnar kafa midadi ya kuangalia imetulia ila niligues huyu Ivar nimkatili sana.
 
Wakuu naomba msaada wa kupata torrent site ambayo nitatumia ku download movie pamoja na series kwenye laptop
 
Katika hizi series ulizozitaja, ipi ni ya mkono (action)??? Yaani kama ilivyo Arrow vile ya Oliver Queen.
Manake sie wengine series za story tupu hatuziwezi
 
Katika hizi series ulizozitaja, ipi ni ya mkono (action)??? Yaani kama ilivyo Arrow vile ya Oliver Queen.
Manake sie wengine series za story tupu hatuziwezi
Zote Kali namba moja mpka 6 hizo kuanzia saba cjaziona kwa kwel,,Quantico inastory nzur kwa kwel
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…