OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,931
- 25,245
Hapana mie movie za mazombie,vampire na uchawi aint my taste kabisaaaa.Uchawiii ni kali sanaa...View attachment 459610![]()
hahahah dah hii naikubali sana mkuuKwelii mkuu tuko sambamba apaa episod 8 on air![]()
![]()
![]()
Hii mkuu ni ya kichawi kama ushawai kuone merlini basi ndo jamii yake japo umu hakuna DragonInahusu nini?



Hizo angalieni tuu, mie hapana.Hii mkuu ni ya kichawi kama ushawai kuone merlini basi ndo jamii yake japo umu hakuna Dragon![]()
Dah basi mimi izo ndo series nazopendaHizo angalieni tuu, mie hapana.
Hii kwan imeshatoka,naona kwenye app nying zipo episode mbili tu naitaman kwel hiiEmerald city kwa wanaopenda series za witches
Mkuu kama mimi... emu nitajie nyingie kama merlin nkatafute basi.Dah basi mimi izo ndo series nazopenda
Blacklist itakufaaNaomba nielekezeen zile za kipelelezi zinazosisimua ambapo story inaisha mwsho wa series sio kila episode inaanza na kuisha
AllegianceNaomba nielekezeen zile za kipelelezi zinazosisimua ambapo story inaisha mwsho wa series sio kila episode inaanza na kuisha
Episode ya tatu imetoka leoHii kwan imeshatoka,naona kwenye app nying zipo episode mbili tu naitaman kwel hii
Ds.Naomba nielekezeen zile za kipelelezi zinazosisimua ambapo story inaisha mwsho wa series sio kila episode inaanza na kuisha
Into the badland Naomba kujua season two imetokaInto the Badlands![]()
![]()
Wapo sahihiWestworld nmechek episode moja kama haijanivutia
bado haijatoka inatoka mwezi ujao febuary 2017Into the badland Naomba kujua season two imetoka
Poa poa Leonard Robert ..Blacklist itakufaa
Nmeipata asante mkuu,,hua wanaziweka kila baada ya muda gan Leonard?Episode ya tatu imetoka leo