Series (Special thread)

Da! Wakubwa napo kaa ninayo Wifi nzuri ya kutosha ku download move na series
Msaada je! Na fanyaje kupata series kupitia sim yangu ya Android kama hizo mlizo tajaaa
 
Da bro hizi we umezipata wapi zote hiziii
Ananikera tu.
 
Wakubwa mzee wa 24 hrs jack bour karud na series mpya inaitwa designated survivor.. now ip epsod 2 usiipite jamaa
 
Umefika ya ngapi if loving you is wrong.
Juma5 wiki hii imetoka episode 1 ya s4..
Mkuu mnatoa wapi izo series bongo.. Nlikuwa nafatilia if loving you is wrong nikiwa Kenya.. Bongo sijajua pa kuzipata
 
jamani mi naisubiria quantico season 2
 
Aliniudhi alivyomwacha mkewe, hata siwaonei wivu, nawaonea huruma.
hahahahah mi tasha namkubali sana yani kwanza nilichukia sana ghost kumuacha halafu anakwenda kwa angel ...hahha ila nimeipenda sana bond ya Tommy na Ghost... ukisikia urafiki wa kweli basi huu wa tommy na ghost ulizidi maana Tommy alimuua mpenzi wake kisa ghost.... ubaya wa hii series unatakiwa kuangalia peke yako ...weka mbali na watoto.....
 
Teh teh teh, siku hizi sio sana, nafatilia zote zote,

Sasa hebu turudi nyuma kwa Power, hivi yale mambo wafanyayo unajua hata Spartacus haitii mguu pale,

Kuna muda hua naona kama wanafanya kweli vile
hawa wanafanya kweli kabisa hakuna kuigiza.....
 
Kwakweli thats true friendship haswaaa!
Tasha mwanamke wa kweli, na hakutaka kuwajengea wanae chuki dhidi ya baba yao, tena pamoja na kuachwa ila bado hakumuombea mabaya ghost.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…