Hahaaha!! Pole sana... muda uliobaki sio mrefu sana; bado miezi 9 na wiki moja!!!Acha tu kiwe kihere here maana ni booonge la searies, hautamani kuiacha ukiianza.
Umesema hadi lini???
Kwani takahaya ni wa china au Japan?Peng ndie aliyekua anasababisha yatokee makundi kule china, ndio maana raisi alimuona takahaya mzee wa mitego baharini kua ndio muovu, lakini takahaya lengo lake ilikua ni kulipiza kisasi tu. Alipoujua ukweli hakutaka tena kua pirate
Sasa atalipiza kwa nani ikiwa alofanya baba yake afe nae aliuawa?lakini pia tex ana mwanawe naye yuko vizuri, nahisi atakuja kulipiza kisasi
atalipiza kwa anti america wote watakaokuja, muangalie yule dogo walomchukua kule kwenye harbour, jina limenitoka. Saivi yuko tayari kwenda kwenye mission yoyoteSasa atalipiza kwa nani ikiwa alofanya baba yake afe nae aliuawa?
Nakumbuka takahaya mjapan na peng ni mkoreaKwani takahaya ni wa china au Japan?
Rais peng alikuwa mchina bwana, au mie ndio nachanganya madesa!!Nakumbuka takahaya mjapan na peng ni mkorea
Hapa nipo na wewe kwa 100%!!Kuna series inaitwa power is the best
Hii bhana nilijitahidi niipende lakini yenyewe haikuwa na upendo kabisa kwangu... nikarejea msemo wa wahenga; mpende akupandaae, asiyekupenda achana nae!!Au breaking bad ni nzuri mno
Uliangalia mpaka wapi? Mwanzo ipo boring na trailer yake haivutii ila ukiendelea kuiangalia ni nzuri balaa jamaa yupo genious. Walipata award nyingi kwa hiyo series na ilikuwa popular AmericaHapa nipo na wewe kwa 100%!!
Hii bhana nilijitahidi niipende lakini yenyewe haikuwa na upendo kabisa kwangu... nikarejea msemo wa wahenga; mpende akupandaae, asiyekupenda achana nae!!
Ingawaje ilinishinda but I knew inawezekana ile boring ni ule mwanzo wake tu so; niliendelea kui-download kwa imani ile ile kwamba huenda mbele mzuri! Unfortunately, ckupata tena fursa ya kuicheki tena! But umenikumbusha... they're on way to winter season in US ambapo kunakuwa na ukame wa shows! Nitaijaribu tena wakati nasubiria msimu uanze manake hiki kipindi cha kusubiria kinaboaga sana so, mtu unakula chochote!!Uliiangali
Uliangalia mpaka wapi? Mwanzo ipo boring na trailer yake haivutii ila ukiendelea kuiangalia ni nzuri balaa jamaa yupo genious. Walipata award nyingi kwa hiyo series na ilikuwa popular America
Inahusiana na nn?Kuna series inaitwa power is the best
Acha uc.hoko wwHapa ndo Scofield anakuja kuplay ushoga kwenye Series sasa.
Ukiangalia even trailer utajua the story behindKwahiyo kafufuka kama ile "Second Chance"
Acha uc.hoko ww
Sa utasemaje jamaa anakuja kuplay ushoga kwenye series??Man, hivi kuna mahali nimekutukana?
Anyway, nisamehe kama kwa mimi kuandika nilichokiandika nimekukwaza.
Sa utasemaje jamaa anakuja kuplay ushoga kwenye series??
Honestly umenikera
One of my favorite!Mzigo umerudi huo wadau
Ipo hewani leo,km kawa mwanjo mwanjo tu wa season 2 umeanza na utamu wakeOne of my favorite!
Hahahaa!! Hizi bhana mie huwa nazisubiria ziongezeke ongezeke! Naonaga taabu sana leo nakatizwa uhondo halafu nisubirie wiki mzima! Kwa mfano... hapa nilikuwa nazisubiria Suit, Power, House of Cards na Tyrant! Nadhani zote sasa zimeisha (angalau session ya kwanza) kwahiyo wiki hii zote nazishusha naanza kuzifungia kazi! Hadi nazimaliza, Blindspot nayo itakuwa imeisha session ya kwanza... hapo tutakuwa tunakaribia december!Ipo hewani leo,km kawa mwanjo mwanjo tu wa season 2 umeanza na utamu wake
Hahahaa!haya mkuuHahahaa!! Hizi bhana mie huwa nazisubiria ziongezeke ongezeke! Naonaga taabu sana leo nakatizwa uhondo halafu nisubirie wiki mzima! Kwa mfano... hapa nilikuwa nazisubiria Suit, Power, House of Cards na Tyrant! Nadhani zote sasa zimeisha (angalau session ya kwanza) kwahiyo wiki hii zote nazishusha naanza kuzifungia kazi! Hadi nazimaliza, Blindspot nayo itakuwa imeisha session ya kwanza... hapo tutakuwa tunakaribia december!