Mkuu upload screen shot ya hiyo page browser na ionyeshe web address, ili nijue jinsi ya kukusaidia otherwise unaweza kusema ni series gani unataka nikupe link nyingine.
ukitaka kuielewa game of throne ujitahidi isikupite hta scene moja yaan ukiongea na simu weka pause nk na maneno uyaelewe vizuri sana wanayozungumza ni vizuri ukadownload na subtitle yake ili uielewe zaidi na season 2 mwishoni ndo inaamza kuchanganya ni moja kati ya seriez kari sana km ilipoishia sa hv JON SNOW kama kafa najiuliza itakuaje na jeshi la wafu ndo linazidi kukua nahisi utamu unazidi kukolea