Series (Special thread)

Series (Special thread)

Kitu cha The originals ni noma nyingine ni The land of wind,jumong,prison break,24 n.k
 
Dunia nziima... NARUDIA TENA ....DUNIA NZIIMA, HAITOKUJA KUTOKEA SERIES NZURI KAMA
Gulong Ng Palad.....
Humo kuna Carding na Luisa..
KudadadeQ
 
Mi baada ya prison break sikuwahi kuangalia series nyingine kwa jinsi ilivyonitesa,
Yan nilikuwa silali nakesha tu.
Tangu hapo nikaacha kabisa kuangalia series

Kwa kifupi siwezi kijicontrol mda nikianza kuangalia. Nimelala san saa 10 halafu kwenda kazini inakuwa tabu asubuhi kuamka
 
Nikifikiria jinsi bond ya Jack Bauer na Chloe O'Brian ilivyokua naishia kumpa producer ,script writer wa 24 heshima ,kiufupi ndio favorite characters wangu ndani ya 24 ikiwa pamoja na yule jamaa top wa security white house Alan ,mpole mwenye hekima na busara ,baadae alikuja kumwoa Martha aliyekua mke wa Charles Logan
 
Six flying dragons
Jumong
Land of the wind
Iljimae
God of war
The scholar walks at night
My love from another star
Joseon gunman
King's face
The legend
Tree with deep roots
Man date of heaven
Rooftop prince
Shine or go crazy
Yi chi
Princess man
Painter of the wind
- hizo Korean series ni sheedah ziko poa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom