Series (Special thread)

Series (Special thread)

Download u torrent kisha ukiingia kwenye hiyo website chagua series unayo ipenda then click sehemu iliyo andikwa magnet.File litakua downloaded automatically.

Kwanza me huwa na site movie na nyingine ya kudownloadia series zote site zina share kwenye torrent,utorrent,bi torrent nk.....
 
True haijanisisimua sana kama s04 na s05 au kwa kuwa imetoka tofauti na story halisi ya kitabu yaan haijanibamba kabisa


ngoja tusikilizie hizi ep zilizobakia ngoja nipakue ep08 sijaicheck bado

Labda 9&10 but sio fair yaani tumesubiri for a year kumuona Arya
 
Na yule jamaa aliyechomwa kisu na Arya kasurvive ili iweje! Huchelewi kuona amekuwa king
kwene GOT usipoona maiti ya mtu..ujie yuko hai.. atarudi mbeleni.. mfano ni mjomba ake dogo brian.. karudi s06 kumwokoa dogo toka kwa ma whitewalker
 
bridal musk
Iłjimae
Gu family book
arrows
*íla mwisho wa zote nikitaka kucheka naangalia Iljimae, ni full comedy hatari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom